johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mdee is here to stay. Slaa malaya wa dini kuacha upadre akaoa, nadhri ya milele hafai. Kama alimhasi Mungu sembuse siasa. Yalikuwa makosa kuleta muasi ChademaKiukweli kukosekana kwa watu wawili muhimu katika utumishi wa kisiasa katika nchi hii kumeacha pengo kubwa sana.
Itoshe tu kusema karibuni nyumbani wapendwa wetu Dr Wilbrod Slaa na mh Tundu Lisu, Dr Slaa mkazi wa Mbweni utatosha kabisa kuwawakilisha wakazi wa Kawe bungeni ukimpokea kijiti bint uliyemlea Halima James Mdee.
Maendeleo hayana vyama!
Kiukweli kukosekana kwa watu wawili muhimu katika utumishi wa kisiasa katika nchi hii kumeacha pengo kubwa sana.
Itoshe tu kusema karibuni nyumbani wapendwa wetu Dr. Wilbrod Slaa na Mh Tundu Lisu, Dr Slaa mkazi wa Mbweni utatosha kabisa kuwawakilisha wakazi wa Kawe bungeni ukimpokea kijiti binti uliyemlea Halima James Mdee.
Maendeleo hayana vyama!
Mdee is here to stay. Slaa malaya wa dini kuacha upadre akaoa, nadhri ya milele hafai. Kama alimhasi Mungu sembuse siasa. Yalikuwa makosa kuleta muasi Chadema
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania bwana kweli walio wengi haziwatoshi Dr.Slaa anachohitaji ni Urais tu sio uwaziri mkuuKiukweli kukosekana kwa watu wawili muhimu katika utumishi wa kisiasa katika nchi hii kumeacha pengo kubwa sana.
Itoshe tu kusema karibuni nyumbani wapendwa wetu Dr. Wilbrod Slaa na Mh Tundu Lisu, Dr Slaa mkazi wa Mbweni utatosha kabisa kuwawakilisha wakazi wa Kawe bungeni ukimpokea kijiti binti uliyemlea Halima James Mdee.
Maendeleo hayana vyama!
Kwanini unataka kuua mabinti wa watu kwa kuwaweka roho juu?Kiukweli kukosekana kwa watu wawili muhimu katika utumishi wa kisiasa katika nchi hii kumeacha pengo kubwa sana.
Itoshe tu kusema karibuni nyumbani wapendwa wetu Dr. Wilbrod Slaa na Mh Tundu Lisu, Dr Slaa mkazi wa Mbweni utatosha kabisa kuwawakilisha wakazi wa Kawe bungeni ukimpokea kijiti binti uliyemlea Halima James Mdee.
Maendeleo hayana vyama!
Atarudi kupitia viti maalum. Mdee alikuwa focused miaka ya nyuma, siku hizi hana tofauti na akina Lema!
Jaribu kuwa na staha kwa Dr. Slaa. Anaweza akawa kama ulivyosema ba zaidi, lakini nafasi yetu ni kumheshimu kwa mchango wake mkubwa. Tumuache ajihukumu mwenyewe kwa madhaifu yake.Mdee is here to stay. Slaa malaya wa dini kuacha upadre akaoa, nadhri ya milele hafai. Kama alimhasi Mungu sembuse siasa. Yalikuwa makosa kuleta muasi Chadema
Sent using Jamii Forums mobile app
Alichonacho wanasiasa wengine hawana ni kipi? Exceptional qualities alizo nazo ni zipi?Hayo yalishajibiwa na yeye mwenyewe Mbona Mkuu..
Yule anatufaa sana akiwa Chama chochote kile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni.Mdee is here to stay. Slaa malaya wa dini kuacha upadre akaoa, nadhri ya milele hafai. Kama alimhasi Mungu sembuse siasa. Yalikuwa makosa kuleta muasi Chadema
Sent using Jamii Forums mobile app