bmk
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 571
- 861
Ha ha haeti harimaa mdeeee! Huyo mama msagaji anamsaga mbunge mwenzake bulayaaae
Labda chadema, CCM Kuna vijana wengi wenye maono na uthubutu, Slaa ameshakua Kikongwe! WEWE subiria kikosi cha 2020!Kiukweli kukosekana kwa watu wawili muhimu katika utumishi wa kisiasa katika nchi hii kumeacha pengo kubwa sana.
Itoshe tu kusema karibuni nyumbani wapendwa wetu Dr. Wilbrod Slaa na Mh Tundu Lisu, Dr Slaa mkazi wa Mbweni utatosha kabisa kuwawakilisha wakazi wa Kawe bungeni ukimpokea kijiti binti uliyemlea Halima James Mdee.
Maendeleo hayana vyama!
Labda viti maalum, hapo sawa maana hata uenyekiti bawacha aligombea na kivuli!Atarudi kupitia viti maalum. Mdee alikuwa focused miaka ya nyuma, siku hizi hana tofauti na akina Lema!
2015 nilimpa kura yangu lakini akigombea tena na CCM wasiposimamisha jembe sipigi kura! Bora Chadema agombee Meya Mwita ataweza kuchangamana na dola kutuletea maendeleo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamchongea Dr. wetu wa casavaWatanzania bwana kweli walio wengi haziwatoshi Dr.Slaa anachohitaji ni Urais tu sio uwaziri mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingefaa sana Dr. Slaa kuwa Chief Secretary kwa awamu ya pili ya Mh. Rais Magufuli, si kwamba aliyepo haifai lakini ni kwa sababu anahitaji kupokewa kijiti.. Dr. Slaa anajua kufanya homework yake vizuri pasina kubakiza kitu, tathmini fupi ya jumla ni kwamba kuna tatizo kwenye utumishi wa Umma, mfano mdogo fomu za tume ya maadili hazijajazwa na watumishi wengi mpaka leo bado siku 2, lakini hata ile panga pangua ya kila Mara kwa nafasi mbali mbali ni Ushahidi kuwa vetting haifanywi vizuri ili Rais achague mtu sahihi.. Mara zote ninashangaa kila kwenye sherehe ya kiapo kwa wateuliwa, Chief Secretary ambaye ndiye msimamizi wa hao wanaoapishwa huwa kama hajisikii kuongea ili kukumbusha uadilifu, tija, nk Rais ndio huwa analazimika kuongea yale ambayo CS alipaswa aongee.. Inawezekana si muongeaji lakini nafasi aliyo nayo inamtaka awe anaongea tena sana hasa kwa zama hizi.. Ningependa sana asaidiwe kazi hii alipofanya panatosha, awamu ya pili tunahitaji Rais aweke msingi wa kuwa na watendaji mathubuti kwa ajili ya awamu inayofuata pia aweke mfumo bora wa kupata watendaji na kuwasimamia hata kupima utendaji wao, anayeweza kufanya jukumu hili ni Dr. Slaa!!!Kiukweli kukosekana kwa watu wawili muhimu katika utumishi wa kisiasa katika nchi hii kumeacha pengo kubwa sana.
Itoshe tu kusema karibuni nyumbani wapendwa wetu Dr. Wilbrod Slaa na Mh Tundu Lisu, Dr Slaa mkazi wa Mbweni utatosha kabisa kuwawakilisha wakazi wa Kawe bungeni ukimpokea kijiti binti uliyemlea Halima James Mdee.
Maendeleo hayana vyama!
Hapo Chadema kuna asiye malaya wa chochote?!Mdee is here to stay. Slaa malaya wa dini kuacha upadre akaoa, nadhri ya milele hafai. Kama alimhasi Mungu sembuse siasa. Yalikuwa makosa kuleta muasi Chadema
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee ni wapi hapa duniani sanduku la kura linatenda haki?!John nakwambia kila mmoja amemkinai Jiwe. Ukija uchaguzi wa huru na haki, huyo unayemtegemea ampe uwaziri Slaa hatakuwepo.
Kika mmoja ameumizwa, kila mmoja analia, wako naye Jiwe lkn ni wanafiki. Ukweli kila mmoja anao moyoni mwake. Na Jiwe ameshajua ndiyo maana aliiba kura serikali za mitaa akijua fika kuwa hana lake akiachia haki itendeke katika sanduku la kura.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atarudi kupitia viti maalum. Mdee alikuwa focused miaka ya nyuma, siku hizi hana tofauti na akina Lema!
2015 nilimpa kura yangu lakini akigombea tena na CCM wasiposimamisha jembe sipigi kura! Bora Chadema agombee Meya Mwita ataweza kuchangamana na dola kutuletea maendeleo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli kukosekana kwa watu wawili muhimu katika utumishi wa kisiasa katika nchi hii kumeacha pengo kubwa sana.
Itoshe tu kusema karibuni nyumbani wapendwa wetu Dr. Wilbrod Slaa na Mh Tundu Lisu, Dr Slaa mkazi wa Mbweni utatosha kabisa kuwawakilisha wakazi wa Kawe bungeni ukimpokea kijiti binti uliyemlea Halima James Mdee.
Maendeleo hayana vyama!
Dr Slaa hatakagi ujinga!Slaa akienda Bungeni ataenda kujishushia heshima maana kuna madudu atakua akiyanyamazia
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili kubwa miaka 58 ya uhuru watu wanakunywa maji ya vidimbwi na fisiMwl. Nyerere alisema ! Zambi ya usariti nikama kula nyama ya mtu, ukila nyama ya mtu huwezi kuacha.chadema
Mlimsariti Dr slaa, sasa Dr mashinji nabaadae cjui nani! Chadema kinaongozwa nawatu wenye hakiri ndogo nasikia pr safari nae kabwaga manyanga.. duh.