Baraza la Mawaziri 2020 linamuhitaji Dr Slaa, karibu Kawe Dr wa ukweli

Baraza la Mawaziri 2020 linamuhitaji Dr Slaa, karibu Kawe Dr wa ukweli

Dhambi
Mlimsaliti
Akili
Kwa nini usijufunze kuandika vizuri kwanza?
Mwl. Nyerere alisema ! Zambi ya usariti nikama kula nyama ya mtu, ukila nyama ya mtu huwezi kuacha.chadema
Mlimsariti Dr slaa, sasa Dr mashinji nabaadae cjui nani! Chadema kinaongozwa nawatu wenye hakiri ndogo nasikia pr safari nae kabwaga manyanga.. duh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
johnthebaptist kwanini unafiriki kuwa na mawaziri wenye umri wa 70+ ndio wanaweza kutuvusha? Mfano kumweka waziri wa elimu mwenye umri huo anajua mahitaji ya leo ya ajira katika sekta mbalimbali? Unafahamu baadhi ya makampuni makubwa yanafunga idara za uhasibu na kuhamishia kazi hiyo nje ya nchi kupitia "CLOUD"?
Nitajie waziri kijana mmoja tu anayechapa kazi kumzidi mzee Prof Mbarawa?!
 
Back
Top Bottom