Baraza la Mawaziri 2020 linamuhitaji Dr Slaa, karibu Kawe Dr wa ukweli

Nakubaliana na wewe kwa yote uliyoandika isipokua kwenye Jimbo la Kawe. Kwanini asigombee Karatu Jimbo la zamani?
Halima Mdee kumchomoa Kawe sio rahisi kama unavodhania. Mimi binafsi nimekua nikimpigia kura tangu 2010 na sijawahi kujutia kura yangu kwake.
 
Kwa raia wakawaida huwaambii kitu kwa huyo uliyembatiza jina( jiwe).
Raia wa kawaida waliokuwa na vipato vya kawaida kabisa wanaona kwa kipindi hiki maisha ni afadhali Sana kwao.
Ninyi mliokuwa mnazipiga za bwerere ndio mnaomchukia jiwe.
Usitegemee Magufuli akose urais(2020).
Machinga,Mama lishe,bodas, wanafuraha na Uhuru wa biashara walionao.
Migambo haisumbui tena.
 
Mdee is here to stay. Slaa malaya wa dini kuacha upadre akaoa, nadhri ya milele hafai. Kama alimhasi Mungu sembuse siasa. Yalikuwa makosa kuleta muasi Chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Retired vipi tena? Dr. Slaa si padre wa kwanza kuacha upadre na kuoa na la msingi kabisa ni kuwa alikuwa na idhini ya Papa wa Roma. Dini ya RC inaruhusu hilo, hivyo si sawa kumuita malaya wa dini hata kama wako wengi ambao hawapendi alichikifanya.
 
hawezi kushinda ubunge uyo jamaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifa yake hiyo inamuwekea kasoro kubwa, ni kwa vile Africa bado kujitambua. Huyu ilibidi asishike madaraka yoyote ya umma!
n matamshi yake ya kuunga mkono juhudi unaona kabisa huyu si yule wa jana! Ile dhambi ya kutupa kiapo KIKUU bado inamtafuna
 
afadhali kwa kigezo gani? Anyway, sijui nazungumza na mtu gani? Kwa kigezo kipi? Niko mtaani na walalahoi. Leo wanasema afadhali sana ya Kikwete vibarua vya matajiri vilikuwa vinapatikana, leo hakuna!
 
johnthebaptist kwanini unafiriki kuwa na mawaziri wenye umri wa 70+ ndio wanaweza kutuvusha? Mfano kumweka waziri wa elimu mwenye umri huo anajua mahitaji ya leo ya ajira katika sekta mbalimbali? Unafahamu baadhi ya makampuni makubwa yanafunga idara za uhasibu na kuhamishia kazi hiyo nje ya nchi kupitia "CLOUD"?
 
Magufuli alisha sema Hapangiwi... anapanga mwenyewe
 
Meya Mwita ataweza kuchangamana na dola kutuletea maendeleo.
Kwa ivo kumbe maendeleo hayawezi kuletwa bila ya kuchangamana na dola? Halafu wewe kwako dola maana yake ni CCM!!?

Hii nchi kweli ina binadamu, lakini watu ni wachache sana!!
 
Dkt Slaa ni kichwa sana hata ukiunganisha vichwa vyote chadema haviwezi kufikia hata nusu ya uwezo alionao Dkt Slaa
 
Machinga,Mama lishe,bodas, wanafuraha na Uhuru wa biashara walionao.
Migambo haisumbui tena.
Bodas na migambo ndiyo nini? Kwa nini usijiite Gangilonga badala ya kujiita Ipogolo wakati hata Komoni ya kwa Mwagongo hujawahi kunywa!?
 
Mwenye macho haambiwi tazama,baada ya kuondoka Dkt chadema imepukutika kuelekea kufa badala ya kuimarika hiyo nayo kuona inahitji sayansi?
 
Dah! huyu Dr. Anajali zaidi kuhusu kimada wake....Uwaziri sidhani..labda Ukatibu wa CCM mpya...

Nzee Ngaya kasema atafit zaid ndani ya Chama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengo gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…