Mwl. Nyerere alisema ! Zambi ya usariti nikama kula nyama ya mtu, ukila nyama ya mtu huwezi kuacha.chadema
Mlimsariti Dr slaa, sasa Dr mashinji nabaadae cjui nani! Chadema kinaongozwa nawatu wenye hakiri ndogo nasikia pr safari nae kabwaga manyanga.. duh.
Bwashee ni wapi hapa duniani sanduku la kura linatenda haki?!
..Natamani apewe Wizara ya mambo ya ndani ili awabamize wapinzani.
Slaa akienda Bungeni ataenda kujishushia heshima maana kuna madudu atakua akiyanyamazia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye macho haambiwi tazama,baada ya kuondoka Dkt chadema imepukutika kuelekea kufa badala ya kuimarika hiyo nayo kuona inahitji sayansi?
Nitajie waziri kijana mmoja tu anayechapa kazi kumzidi mzee Prof Mbarawa?!johnthebaptist kwanini unafiriki kuwa na mawaziri wenye umri wa 70+ ndio wanaweza kutuvusha? Mfano kumweka waziri wa elimu mwenye umri huo anajua mahitaji ya leo ya ajira katika sekta mbalimbali? Unafahamu baadhi ya makampuni makubwa yanafunga idara za uhasibu na kuhamishia kazi hiyo nje ya nchi kupitia "CLOUD"?
Waziri wa Viwanda na BiasharaNitajie waziri kijana mmoja tu anayechapa kazi kumzidi mzee Prof Mbarawa?!