Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
💯%.Ceasefire agreement ya nini.!? Hao magaidi waendelee kupelekwa akhera kwenda kuonana na wale mabikra 72 wenye macho kama mayai.
There should be no peace with the terrorists, Take them to the gallows.
Kabisaa mkuuNa Republican ndo wanakuja. Watakubaliana tu
Kuangamiza magaidi na kuigeuza Gaza kuwa kifusimuongezee hili, kama walijua hawawezi kuwaokoa wakiwa hai, walienda gaza kufanya nini?
Kumbe wanashabikia ugaidi. Basi washughulikiwe hamna namna
nafikiri yote yametimia na sasa wanataka mapigano yaisheKuangamiza magaidi na kuigeuza Gaza kuwa kifusi
Wakati huo huo national security minister wa Israel anatishia kujiuzulu kisa hii ceasefire deal akisema malengo ya vita hayajatimia na akasema ni bad deal!nafikiri yote yametimia na sasa wanataka mapigano yaishe
Bado kazi inaendeleanafikiri yote yametimia na sasa wanataka mapigano yaishe
hata mimi ningekuwa Rais wa Israel ningekukuabali yaishe, kwa zaidi ya mwaka mmoja na miezi kadhaa Israel imepewa kila aina ya msaada kutoka mataifa makubwa kiteknolojia ili kuokoa mateka wake lakini imeshindikana.Wakati huo huo national security minister wa Israel anatishia kujiuzulu kisa hii ceasefire deal akisema malengo ya vita hayajatimia na akasema ni bad deal!
Ila mtz anakwambia malengo ya vita ya Israel yametimia huko gaza!
inaendelea vipi wakati Israel imekubali kusaini makubaliano ya kusitisha mapigano.?Bado kazi inaendelea
Hata kuwakoaa ikiwa wamekufa haiwezi.Hivi unadhani Israel ikienda kuwaokoa, itawaokoa wakiwa hai?
kusitishwa kwa mapigano kabla ya kuwaokoa hao mateka kumewavunja moyo sana wayahudi wa kisiju.Hata kuwakoaa ikiwa wamekufa haiwezi.