Baraza la mawaziri Israel lapiga kura kugomea kusaini mkataba kusitisha vita , laituhumu Hamas kukiuka vipengele vya makubaliono

Baraza la mawaziri Israel lapiga kura kugomea kusaini mkataba kusitisha vita , laituhumu Hamas kukiuka vipengele vya makubaliono

Ceasefire agreement ya nini.!? Hao magaidi waendelee kupelekwa akhera kwenda kuonana na wale mabikra 72 wenye macho kama mayai.

There should be no peace with the terrorists, Take them to the gallows.
đź’Ż%.

Wauliwe mpaka wakome.

Wasipokoma, waendelee kuuliwa ad infinitum.

That’s the way it was. That’s the way it is. And that’s the way it’s going to be.

Hamas are stupid. You can’t fix stupid.
 
nafikiri yote yametimia na sasa wanataka mapigano yaishe
Wakati huo huo national security minister wa Israel anatishia kujiuzulu kisa hii ceasefire deal akisema malengo ya vita hayajatimia na akasema ni bad deal!
Ila mtz anakwambia malengo ya vita ya Israel yametimia huko gaza!
 
Wakati Unashabikia kumbuka Kuna Raia Wanateseka watu Hawana Chakula ,Maji Safi na Salama Makazi Bora Yani Ukiwa Unashabikia ukiwa Mbali kwako Wewe Unakula na kulala Familia yako iko Salama Wenzako Wamepoteza Familia nzima Nyumba Kila kitu Usijiwazie Wewe Wawazie na Wenzako Wenye uhitaji wa Muhimu
 
Wakati huo huo national security minister wa Israel anatishia kujiuzulu kisa hii ceasefire deal akisema malengo ya vita hayajatimia na akasema ni bad deal!
Ila mtz anakwambia malengo ya vita ya Israel yametimia huko gaza!
hata mimi ningekuwa Rais wa Israel ningekukuabali yaishe, kwa zaidi ya mwaka mmoja na miezi kadhaa Israel imepewa kila aina ya msaada kutoka mataifa makubwa kiteknolojia ili kuokoa mateka wake lakini imeshindikana.
 
Back
Top Bottom