Baraza la mawaziri Israel lapiga kura kugomea kusaini mkataba kusitisha vita , laituhumu Hamas kukiuka vipengele vya makubaliono

Baraza la mawaziri Israel lapiga kura kugomea kusaini mkataba kusitisha vita , laituhumu Hamas kukiuka vipengele vya makubaliono

Kwani hawakuwahi kwenda gaza na kuokoa?..hivi hata habari unafuatilia?
Dynamics za uokozi ni hizo hizo siku zote na mahali pote au huwa ni tofauti tofauti?

Nyie watu hamna akili kabisa.

Wewe kabisa unadhani IDF inaweza tu kwenda kichwa kichwa kuwaokoa hao mateka?

Lengo ni kuwapata wakiwa hai. Mkisema muende tu kama hamna akili, Hamas watawaua halafu na wao watajiua.

Sasa hapo utakuwa umetimiza lengo gani? Kuokoa maiti au watu walio hai?

Kwa akili zenu hizi, no wonder mnaona walichofanya Hamas ile Okt. 7 ni sahihi licha ya kwamba Gaza imegeuzwa kuwa kifusi na akina Sinwar wamefunuliwa mafuvu.
 
Huwa unaweka kiingereza kuonesha u wa maana,kumbe buyu tupu
Mkuu nawew nivile tuu uko kwenye kundi la watu wanaodiss matumiz ya kiincereza. Sasa wapi kaonyesha kwamb ametumia kiingereza ili tumuone wa maana?
 
Mkuu nawew nivile tuu uko kwenye kundi la watu wanaodiss matumiz ya kiincereza. Sasa wapi kaonyesha kwamb ametumia kiingereza ili tumuone wa maana?
Halafu jina lake/ ID yake iko kwa kimombo 🤣.
 
Yaan
Halafu jina lake/ ID yake iko kwa Kumamoto 🤣.
Mkuu binafsi huwa najiulza kwanin watz tuna roho ya kukosoana vitu vya kawaida sana. Sas utakuta hapo mtoto wake yuko shule za kiingireza. Na je tuspokuwa tunajizoeza kuongea tutakijuaje vzur.
 
Mkuu nawew nivile tuu uko kwenye kundi la watu wanaodiss matumiz ya kiincereza. Sasa wapi kaonyesha kwamb ametumia kiingereza ili tumuone wa maana?
Mara nyingi tu,labda kama huoni
 
Dynamics za uokozi ni hizo hizo siku zote na mahali pote au huwa ni tofauti tofauti?

Nyie watu hamna akili kabisa.

Wewe kabisa unadhani IDF inaweza tu kwenda kichwa kichwa kuwaokoa hao mateka?

Lengo ni kuwapata wakiwa hai. Mkisema muende tu kama hamna akili, Hamas watawaua halafu na wao watajiua.

Sasa hapo utakuwa umetimiza lengo gani? Kuokoa maiti au watu walio hai?

Kwa akili zenu hizi, no wonder mnaona walichofanya Hamas ile Okt. 7 ni sahihi licha ya kwamba Gaza imegeuzwa kuwa kifusi na akina Sinwar wamefunuliwa mafuvu.
Hamas hana lengo la kuua mateka, angekua na lengo hilo angeshawaua siku nyingi, IDF walivamia na kuua watu 300 Ili kuokoa mateka mmoja, ulikua wapi wakati hilo tukio linatokea?
 
Ukikosa hoja unaanza kukosoa lugha!

We mwenyewe ID yako ni ya lugha hiyo unayojifanya kuiponda.

Akili yako inachekesha sana.
Hoja,una hoja gani!?..mara mkwara wa trump umewatisha Hamas na kukubali cease fire mara ben gavir kagomea cease fire na unaunga mkono hoja Ili Hamas wabondwe,hata hujui unasimama wapi kisha unakuja na kiroja cha hoja!!
 
Hamas hana lengo la kuua mateka, angekua na lengo hilo angeshawaua siku nyingi, IDF walivamia na kuua watu 300 Ili kuokoa mateka mmoja, ulikua wapi wakati hilo tukio linatokea?
Hujaelewa kabisa!

Nilisema toka jana kwamba Hamas anawatumia hao mateka kama leverage [unajua maana yake?]. Na ndo maana wapo bado ambao wako hai.

Nikawahoji wale wanaodai kwamba Israel haijui walipo hao mateka.

Nikasema kwamba, Israel inajua walipo. Lakini kujua tu walipo, hiyo haitoshi kwa wao kwenda kuwaokoa wakiwa bado wako hai.

Nikaeleza kwamba Israel hawawezi tu kwenda kichwa kichwa kuwaokoa hao mateka maana kufanya hivyo kutahatarisha maisha yao [mateka].

Mnaweza kupeleka vikosi vya uokozi, mkaishia kurushiana risasi na Hamas. Katika act of desperation, Hamas ikawaua hao mateka na IDF ikawaua Hamas.

Lengo la Israel ni kuwarudisha wakiwa hai hao mateka. Hivyo ni lazima icheze vizuri karata zake ili kufanikisha hilo.

Kipi kigumu kuelewa hapo? Even my preschooler understands it. You and your ilk don’t?
 
Hoja,una hoja gani!?..mara mkwara wa trump umewatisha Hamas na kukubali cease fire mara ben gavir kagomea cease fire na unaunga mkono hoja Ili Hamas wabondwe,hata hujui unasimama wapi kisha unakuja na kiroja cha hoja!!
Unaandika kama bata!
 
Hujaelewa kabisa!

Nilisema toka jana kwamba Hamas anawatumia hao mateka kama leverage [unajua maana yake?]. Na ndo maana wapo bado ambao wako hai.

Nikawahoji wale wanaodai kwamba Israel haijui walipo hao mateka.

Nikasema kwamba, Israel inajua walipo. Lakini kujua tu walipo, hiyo haitoshi kwa wao kwenda kuwaokoa wakiwa bado wako hai.

Nikaeleza kwamba Israel hawawezi tu kwenda kichwa kichwa kuwaokoa hao mateka maana kufanya hivyo kutahatarisha maisha yao [mateka].

Mnaweza kupeleka vikosi vya uokozi, mkaishia kurushiana risasi na Hamas. Katika act of desperation, Hamas ikawaua hao mateka na IDF ikawaua Hamas.

Lengo la Israel ni kuwarudisha wakiwa hai hao mateka. Hivyo ni lazima icheze vizuri karata zake ili kufanikisha hilo.

Kipi kigumu kuelewa hapo?
Hakuna mateka alouawa na hamas katika majaribio yote ya uokozi, Hamas kuua mateka inaondoa hoja yako ya leverage
 
Ceasefire agreement ya nini.!? Hao magaidi waendelee kupelekwa akhera kwenda kuonana na wale mabikra 72 wenye macho kama mayai.

There should be no peace with the terrorists, Take them to the gallows.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Baraza la mawaziri la Israel hakuna kuidhinisha makubaliono kusitisha vita hadi Hamas wakubaliane na kutimiza vipengele vyote vya mkataba husika

Suala la kuachiwa wafungwa na aina ya wafungwa watakaoachiwa huo ni uamuzi wa Israel na siyo Hamas
==================

Israel was still holding off on Thursday afternoon from officially declaring that a ceasefire-hostage release deal announced a day earlier by mediators had been reached with Hamas, insisting that details remained to be finalized and that Hamas was throwing last-minute wrenches into the negotiations.

The Prime Minister’s Office issued a statement Thursday morning accusing Hamas of backing out of some agreements and creating a “crisis” in finalizing the deal.

“Hamas is reneging on the understandings and creating a last-minute crisis that is preventing an agreement,” the PMO said in a statement issued in both English and Hebrew. “The Israeli cabinet will not convene until the mediators notify Israel that Hamas has accepted all elements of the agreement.”

Overnight, the PMO specified that the dispute related to the release of Palestinian security prisoners, describing “a last-minute attempt by Hamas to withdraw from a clause in the agreement that grants Israel veto power over the release of mass murderers who are symbols of terrorism.” It said Hamas was “demanding to dictate the identity of these murderers,” contradicting agreed-upon terms.

A leaked copy of the deal, whose authenticity was later confirmed to The Times of Israel, said prisoners would be released “based on lists agreed upon by both sides.”

Following the Israeli government statement, senior Hamas official Izzat el-Risheq said that the terror group is committed to the ceasefire agreement announced by mediators on Wednesday.

View: https://x.com/ACTBrigitte/status/1879919553180008479
 
Back
Top Bottom