mazagazagatza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 208
- 224
Kwanini unaondoa option ya kuvunjwa?Sio kuvunjwa, labda kufanyiwa manadiliko, kuvunjwa ni endapo wazlri mkuu atapumzishwa!.
P
Acha upumbavuNaomba mheshimu Rais wa nchi. Tumia vema uhuru wako wa maoni ndugu# Uhuru wa maoni isiwe jinai.[emoji120][emoji120][emoji120]
Safi mkuu nafurahi kuona unawajibu hawa watoto kitaalamu zaidSio kuvunjwa, labda kufanyiwa manadiliko, kuvunjwa ni endapo wazlri mkuu atapumzishwa!.
P
Knowledge brings wisdom!🙏🙏🙏Acha upumbavu
Leo kwenye mkutano wa Chama cha MambuziAmeyasema lini hayo
Ahsante Pascal umejibu vyemaSio kuvunjwa, labda kufanyiwa manadiliko, kuvunjwa ni endapo wazlri mkuu atapumzishwa!.
P
Na kuku weusiMbuzi weupe wataanza kupanda bei ghafla
Chama cha mambuzi ndo walogaji wakubwaMmezoea kurogana huko ufipa basi unajua kila sehemu ni hivyo.
Sio kuvunjwa, labda kufanyiwa manadiliko, kuvunjwa ni endapo wazlri mkuu atapumzishwa!.
P
Mkuu Pascal kuna mambo chini kwa chini kuwa Kiranja Mkuu kila akitoa maagizo kwa wachini wake hakuna utekelezaji kisa pale JUU.Sio kuvunjwa, labda kufanyiwa manadiliko, kuvunjwa ni endapo wazlri mkuu atapumzishwa!.
P
Hivi mkuu mfano Rais anaweza kumtumbua waziri mkuu na akavunja ubunge uchaguzi wa wabunge ukaitishwa upya?Sio kuvunjwa, labda kufanyiwa manadiliko, kuvunjwa ni endapo wazlri mkuu atapumzishwa!.
P
Sasa kwani hizo shida Ni za Mawaziri au Hali halisi? Huwezi badili kisa wapuuzi wachache wanawachukia hata kwenye masuala yaliyo nje ya uwezo wao.Sioni kama italeta nafuu yeyote labda kama atambadiri February na Daktari wa Uchumi.
Wizara zenye shida ni mbili tu, Nishati pamoja na Fedha. Huko kwingine naona hakuna shida Sana.
Mama afukuze PM aunde Serikali upya keshapewa Rungu rasmi haina kulemba..Nilisema hapa na uzi wangu ukatolewa any away Asilimia 40 wanatemwa Alafu mtoto pendwa wa mama WASUMBUFU tafsiri yake Kwa lugha kiswahili
Usishangae anachukua nafasi nyeti zaidi Bwana WASUMBUFU Au HAWATULII
Britanicca
Kama Nani anayemdharau? MtajeWatu wanamdharau sana mama. Mama acha kuongea, onyesha vitendo