The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Sasa Chadema Kama chama Cha siasa kinamdharauje sasaChadema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Chadema Kama chama Cha siasa kinamdharauje sasaChadema
Sasa mkuu Kwa nini ashindwe kumpunzisha?? Ili Baraza livunjwe. Atafute PM mwingine. Why mnafanya kutowezekana.Safi mkuu nafurahi kuona unawajibu hawa watoto kitaalamu zaid
Kudos sana mkuu wa bodi
Hapo kwa February watu wanajiuliza mbona Wakati yupo Kalemani hakukuwa na mgao wa umeme na miradi ya REA kule Vijijini ilikuwa inakimbia?Sasa kwani hizo shida Ni za Mawaziri au Hali halisi? Huwezi badili kisa wapuuzi wachache wanawachukia hata kwenye masuala yaliyo nje ya uwezo wao.
Ndio maana nawaita wewe na wenzako Ni wapumbavu,Kama umeshikiwa akili bakia hivyo hivyo.Hapo kwa February watu wanajiuliza mbona Wakati yupo Kalemani hakukuwa na mgao wa umeme na miradi ya REA kule Vijijini ilikuwa inakimbia?
Ndiyo shida ya kutoa vyeo kwa kujuana, hakuna utendaji unaonekana wa Serikali kwa jamii.Huyo Bibi Tozo hana MAAJABU yoyote.
Hata akibadili BARAZA mara 200 litabaki vile vile, Kwasababu Watoto wa VIGOGO wanaovuruga HAWEZI kuwatoa.
Kwahiyo MAKAMBA, NAPE, MWIGULU, RIDHIWANI, MCHENGERWA wataendelea KUWEPO.
mtu wa kwanza kuondoka ni waziri mkuuInaelekea serikali ya rais Samia itavunja na kupangua Baraza la mawaziri
Kwa mjibu wa Samia Kuna watendaji ni wabovu ndani ya serikali yake.
NB: Watu wataanza kwenda kwa sangoma [emoji3][emoji3][emoji3]!
Kwahiyo Mkuu huoni tofauti ya Kalemani na February kwenye hiyo Wizara ya Nishati?Ndio maana nawaita wewe na wenzako Ni wapumbavu,Kama umeshikiwa akili bakia hivyo hivyo.
waziri mkuu haponi kakaSio kuvunjwa, labda kufanyiwa manadiliko, kuvunjwa ni endapo wazlri mkuu atapumzishwa!.
P
Kuna scandal Moja hivi enzi za mwamvita na boff wake. Barua ikivuja from Vodacom..Hapo kwa February watu wanajiuliza mbona Wakati yupo Kalemani hakukuwa na mgao wa umeme na miradi ya REA kule Vijijini ilikuwa inakimbia?
Hiyo scandal sijaisikia chief, ukiweza tuwekee nasi tuisome hapa.Kuna scandal Moja hivi enzi za mwamvita na boff wake. Barua ikivuja from Vodacom..
Labda jamaa anapeleka huko. Maana mwamv alimwambia boyff asubiri kijana akishika wizara
Nadhani inawezekana,lakn inatakiwa avunje bunge lote na nchi iludi kwenye uchaguzi mkuu, mpaka na yeye mh. Rais akagombee upya kitu ambacho kwa nchi kama Tanzania sidhani km kinaweza tokea.Hivi mkuu mfano Rais anaweza kumtumbua waziri mkuu na akavunja ubunge uchaguzi wa wabunge ukaitishwa upya?
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Umemaliza😆😆🤣Tangu lini Samia akawa serious?
Kitambo Sana Sina hiyo.Hiyo scandal sijaisikia chief, ukiweza tuwekee nasi tuisome hapa.
Ila Hawa jamaa inaonekana Kuna deal wameingia na Wafanyabiashara wa majenereta na Sola ili wawe wanapiga hela.
Yaani saivi ukiwa na ki stationary tu lazima ununue na jenereta ili uweze kufanya kazi, ukikosa Hilo jenereta watoto lazima walale njaa 😢
Kwa kosa gani?!.waziri mkuu haponi kaka
Nachokuona mjinga na imeshikiliwa akili Ni Mambo yafuatayoKwahiyo Mkuu huoni tofauti ya Kalemani na February kwenye hiyo Wizara ya Nishati?
Au mwenzetu huu mgao wa umeme uliopo unanufaika nao Chief?
Mkeka wa Dec, wandewa matumbo jotroooInaelekea serikali ya rais Samia itavunja na kupangua Baraza la mawaziri
Kwa mjibu wa Samia Kuna watendaji ni wabovu ndani ya serikali yake.
NB: Watu wataanza kwenda kwa sangoma [emoji3][emoji3][emoji3]!