The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Acha kupotosha wewe,Basi umewekeza na unaishi peke yako huko ndio maana unasema Kuna mgao..Kweli ukiwa unakula hutakiwi kuongea.
Unaongea kuhusu hiyo Mikoa utasema Tanzania ni kisiwa, aliyekupa hizo taarifa mwambie arejee Tena Site. Hiyo Mikoa bado ina mgao Chief, wengine tumewekeza hiyo Mikoa na kufanya vibiashara vyetu huko.
Anyways, ngoja tusubirie Ukame uishe ili huo Mgao uishe na sisi tuache kutumia haya majenereta yetu