The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Full mandate kutoka kwenye chamaKama alikuwa anajua ana watendaji wabovu kwenye serikali yake, siku zote alikuwa anasubiri nini kuwaondoa?
Au ndio alikuwa anasubiri huo mkutano wao wa NEC akatangazie huko?
She is not serious.
Wala haihitaji kuvunja Bunge Ni kimfukuza PM tuu..Hivi mkuu mfano Rais anaweza kumtumbua waziri mkuu na akavunja ubunge uchaguzi wa wabunge ukaitishwa upya?
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Kama mimi mmoja wapo coz si kama watendaji wabovu hawafahamu na hali halisi mtaani ilivyo ahifahamu ila hayuko serious na mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja.Kama Nani anayemdharau? Mtaje
Kama mimi mmoja wapo coz si kama watendaji wabovu hawafahamu na hali halisi mtaani ilivyo ahifahamu ila hayuko serious na mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja.Kama Nani anayemdharau? Mtaje
Una uhakika na unachoongea? Mambo gani hayo?Kama mimi mmoja wapo coz si kama watendaji wabovu hawafahamu na hali halisi mtaani ilivyo ahifahamu ila hayuko serious na mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja.
Wewe Ni useless so huna impacts yeyoteKama mimi mmoja wapo coz si kama watendaji wabovu hawafahamu na hali halisi mtaani ilivyo ahifahamu ila hayuko serious na mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja.
Mimi lazima niwe na impact kwasababu kwanza ni Mtanzania; nina nafasi yakumshauri jambo lolote katika nyanja yoyote. Pili nina impact katika sanduku la kura coz nina vigezo vyote vya kuchagua kiongozi ninaeona anafaa katika chaguzi zote ndani ya chama mpaka uchaguzi mkuu. Kwa hayo tu utasemaje sina impact?Wewe Ni useless so huna impacts yeyote
Acha kuwa mjinga wewe, inamaana kelele zote hizi zinazoelekezwa juu ya wizara ya nishati na wizara ya fedha na uchumi huzisikii. You must be idiot under the fallacies then.Una uhakika na unachoongea? Mambo gani hayo?
Mjinga Ni wewe,wizara ya Nishati itazalisha umeme kwa kutumia mkojo wako?Acha kuwa mjinga wewe, inamaana kelele zote hizi zinazoelekezwa juu ya wizara ya nishati na wizara ya fedha na uchumi huzisikii. You must be idiot under the fallacies then.
ChademaKama Nani anayemdharau? Mtaje
Huyo Bibi Tozo hana MAAJABU yoyote.Sioni kama italeta nafuu yeyote labda kama atambadiri February na Daktari wa Uchumi.
Wizara zenye shida ni mbili tu, Nishati pamoja na Fedha. Huko kwingine naona hakuna shida Sana.
Naona kuna kitu hamkijui/kukiona.Wala haihitaji kuvunja Bunge Ni kimfukuza PM tuu..
Na in fact ili awe comfortable naunga mkono PM akae pembeni Mama aanze upya
Walamba asali, possibly anataka kuwabana kwenye 18 baadhi ya watoa matamko ili kuwakata chooInaelekea serikali ya rais Samia itavunja na kupangua Baraza la mawaziri
Kwa mjibu wa Samia Kuna watendaji ni wabovu ndani ya serikali yake.
NB: Watu wataanza kwenda kwa sangoma πππ!
Wewe Ni zero kichwani Wapo watendaji wengi Makini na wa maana kuliko huyo failure unaemtetea hapa.Naona kuna kitu hamkijui/kukiona.
Uwepo wa PM Majaliwa licha ya kasoro zake kadhaa, ndio unaomfanya mama yenu kidogo aonekane serikali yake ina utendaji.
Lakini siku atakayomuondoa, halafu amuweke muuza sura wa sampuli ya Makamba [kama inavyosemekana], hapo ndipo atazidi kujiharibia na kuonekana kiongozi dhaifu, anayeendesha serikali iliyojaa watendaji dhaifu.