Huyu bibie kupoozwa kwa Uwaziri?
Na huyu nae kaahidiwa udisiiiHakuna mbaya mbona Kikwete alimpoza huyu kwa uwaziri?
CHADEMA bado hawana watu wenye uzoefu wa kuendesha serikali. Huwezi kuendesha serikali kwa kutegemea watu wachache. Hawa wanahitaji muda kukaa katika upinzani ili wajifundishe. Na hii inasikitisha kua inawapa nafasi CCM kuendelea bila upinzani wa imara .