samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Haya ni matunda ya sera mbovu za Ujamaa. Alaumiwe Nyerere.
βNitoe wito kwa mamlaka zote za maji kuhakikisha zinafanya masahihisho kwenye taarifa zenye mapungufu ili ziweze kutoa hali halisi ambayo mwisho wa siku itasaidia katika kupima utendaji na ufanisi wa huduma wa mamlaka za majisafi na usafi wa mazingiraβ amefafanua Mhandisi Lumato' EWURA yazitaka mamlaka za maji nchini kutoa taarifa sahihi za huduma ya maji na usafi wa mazingira
Nilikuwa na mpango wa kuhamia Dar lakini naona Kama ni Bora nihamie Arumeru nikachimbie likisima lirefuuuEneo ninalokaa tuna zaidi ya siku sita bila kuona tone la maji kwenye mabomba. Fikiria vyoo vya ndani bila maji hali inakuwaje. Kinachosikitisha zaidi ni viongozi wetu wako busy na siasa kama vile hili sio janga linalohitaji dharura. Kitakachofuata ni mlipuko wa magonjwa.
Nashauri baraza la mawaziri likae na lije na suruhisho, huo ndio uongozi badala ya kuzunguka mitaani na ma v8 yenu ndani ya viyoyozi mkisifiana.
Unatumia kuflash tuHayo makalio kwa maji ya Chumvi si yatakuw yamepauka sana
we Loi hebu tuliaHaya ni matunda ya sera mbovu za Ujamaa. Alaumiwe Nyerere.
Upuuzi mtupuBaraza la Mawaziri la serikali ya Tanzania limepokea taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Novemba 6, 2022, Bukoba mkoani Kagera na kugharimu maisha ya watu 19.
Kauli hiyo imetolewa hii leo Novemba 14, 2022, jijini Dodoma na Msemaji Mkuu wa serikali kufuatia maelekezo ya Baraza la Mawaziri lililoketi hii leo na Rais Samia Ikulu ya Chamwino.
"Leo kikao cha Baraza la Mawaziri kikiongozwa na Rais Samia kimekutana hapa Dodoma, na Baraza la Mawaziri limepokea taarifa ya awali ya ajali ya Ndege ya Precision Air na hatua zilizochukuliwa baada ya ajali," amesema Msigwa
Aidha Msemaji ameongeza kuwa "Baraza la Mawaziti limewaelekeza wataalam wa ndani kushirikiana na wataalam kutoka nje ya nchi katika kufanya uchunguzi na kupata chanzo cha ajali pamoja na kupata mapendekezo ya hatua zinazotakiwa kuchukuliwa mara baada ya ajali kutokea,".
Baraza la Mawaziri pia limeelekeza kwamba vitengo vyote vinavyohusika na kukabiliana na majanga nchini viimarishwe ili kuongeza uwezo zaidi wa kukabiliana na majanga yanapotokea.
Chanzo: EATV
Viongozi vipofu ingawa wana macho. Inasikitisha sana.Upuuzi mtupu! Ajali ya ndege kuzungumziwa baraza la mawaziri?? Kama hii ndio standard mbona vifo vitokavanavyo na ajali barabarani havifiki baraza la mawaziri??
Hili jambo sasa linachukuliwa kama kiki! Watu wanapata airtime ya kusifiana!
Wazungumzie umeme, ajira, mfumuko wa bei! Hayo ndio mambo muhimu kwa taifa! Watumie muda kujadili na kufanyia kazi mambo yanayohusu taifa hili na linakoelekea! Sitaki kuonekana nina roho ngumu, lakini wajishighulishe na mambo muhimu yanayohusu walio wengi na kesho ya nchi hii!! Ni bora wangezungumzia janga la ebola ambalo liko nchi jirani!!
Mwalimu Nyerere anaingiaje hapa? Wacha maneno yasiyo na muunganiko wa ubongo na mikono! Mwalimu hajadiliwi kitoto. πππHaya ni matunda ya sera mbovu za Ujamaa. Alaumiwe Nyerere.
Kwa hiyo miaka yote hiyo vikosi havina vifaa vya kutosha kukabiliana na majanga?.Baraza la Mawaziri la serikali ya Tanzania limepokea taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Novemba 6, 2022, Bukoba mkoani Kagera na kugharimu maisha ya watu 19.
Kauli hiyo imetolewa hii leo Novemba 14, 2022, jijini Dodoma na Msemaji Mkuu wa serikali kufuatia maelekezo ya Baraza la Mawaziri lililoketi hii leo na Rais Samia Ikulu ya Chamwino.
"Leo kikao cha Baraza la Mawaziri kikiongozwa na Rais Samia kimekutana hapa Dodoma, na Baraza la Mawaziri limepokea taarifa ya awali ya ajali ya Ndege ya Precision Air na hatua zilizochukuliwa baada ya ajali," amesema Msigwa
Aidha Msemaji ameongeza kuwa "Baraza la Mawaziri limewaelekeza wataalam wa ndani kushirikiana na wataalam kutoka nje ya nchi katika kufanya uchunguzi na kupata chanzo cha ajali pamoja na kupata mapendekezo ya hatua zinazotakiwa kuchukuliwa mara baada ya ajali kutokea,".
Baraza la Mawaziri pia limeelekeza kwamba vitengo vyote vinavyohusika na kukabiliana na majanga nchini viimarishwe ili kuongeza uwezo zaidi wa kukabiliana na majanga yanapotokea.
Chanzo: EATV
Mkuu, ni aibu sana kwa watu wana kipaza sauti na vifaa lakini wanampa maelekezo mtu asiyekuwa na ufahamu wala vifaa. Kikosi husika hakikuwa na uwezo wa kutaka kuokoa maisha ya wengine wengi na kupoteza angalau mmoja wapo, waokozi hawa ni watu wasiojali kazi yao isipokuwa mishahara. Kama majaliwa angekufa pia, bila aibu wao ndio wangejiita waokozi.Walivyo kaa unaweza kufukiri wanapanga cha maana kumbe in utumbo tu.Ajali hata ikitokea tena zaidi wataokolewa na watu wa kawaida ambao hawana mafunzo
Sent using Jamii Forums mobile app