Baraza la Mawaziri la serikali ya Tanzania limepokea taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Novemba 6, 2022

Kwa hiyo taarifa iliyopokelewa ni ipi kama limewaelekeza wataalam wa ndani kushirikiana na wataalam kutoka nje ya nchi katika kufanya uchunguzi na kupata chanzo cha ajali?
 
Maji ya bahari kwaajili ya vyoo dumu Tshs 100 tunauziwa. Ya kisima 300. Ya bomba 500
Yaani maji ya bahari, Sisi TZ niwa kutumia maji ya baharini kweli, hii inchi INA viongozi wabaya kabisa duniani
 
Katiba yetu bana si ya mchezo, hapo ukiguna tu ni nje tena kwa tanganyika jeki !! wote kimyaaaaa !! 😀
Kwa katiba hii ilivyo tamu hakuna ambaye atakikalia kiti afu tena eti aseme anaibatilisha, thubutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…