Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Kwa hiyo taarifa iliyopokelewa ni ipi kama limewaelekeza wataalam wa ndani kushirikiana na wataalam kutoka nje ya nchi katika kufanya uchunguzi na kupata chanzo cha ajali?Aidha Msemaji ameongeza kuwa "Baraza la Mawaziri limewaelekeza wataalam wa ndani kushirikiana na wataalam kutoka nje ya nchi katika kufanya uchunguzi na kupata chanzo cha ajali pamoja na kupata mapendekezo ya hatua zinazotakiwa kuchukuliwa mara baada ya ajali kutokea,".