Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Rais Yoon Suk Yeol ameondoa Utawala wa Kijeshi nchini humo baada ya maandamano ya wananchi na wabunge kupiga kura za kufuta amri yake
Aidha, Msemaji wa chama cha Upinzani cha 'Democratic' amedai uamuzi wa Rais Yoon Suk Yeol wa kutangaza Utawala wa Kijeshi Desemba 3, 2024 ni kitendo cha Kihaini na vyombo vya Sheria vinapaswa kuanza uchunguzi wa kitendo hicho na hivyo kupanga kumuondoa madarakani
Aidha, chama hicho kimepanga kuwashtaki Waziri wa Ulinzi Kim Yong- hyun, Waziri wa Mambo ya Ndani Lee Sang-min na baadhi ya maafisa kwa kumshauri Rais kutangaza Utawala wa Kijeshi
Baraza la Mawaziri limesema liko tayari kujiuzulu baada ya Kushindwa kwa Utawala wa Amri ya Kijeshi nchini humo. Hatua hiyo inafuata baada ya baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Rais kujiuzulu, leo Desemba 4, 2024 Baraza la Mawaziri limesema liko tayari kujiuzulu