Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

ilboru imepiga poa sana, imekuwa ya 9 kitaifa na hakuna div 4 wala 0, tuliosoma ilboru tupongeze wadogo zetu waliomaliza pale

ilboru.PNG
ilboruw.PNG
ilboruw.PNG
ilboruw.PNG
 
KIBAHA

Div -I= 90, Div-II= 59, Div-III= 14 Div-IV= 1 Div-0= 0

POSITION NATIONALWISE = 7

KISIMIRI

Div -I=50 , Div-II=13 , Div-III=0 Div-IV= 0 Div-0= 0

POSITION NATIONALWISE = 1

ILBORU

Div -I= 116, Div-II= 72, Div-III= 30 Div-IV= 0 Div-0= 0

POSITION NATIONALWISE = 9

TABORA GIRLS

Div -I=62 , Div-II= 56, Div-III=56 Div-IV= 15 Div-0= 0

POSITION NATIONALWISE =13

Mzumbe, Tabora Boys na SHULE ZA VIPANGA LOADING.........

[emoji767] Mchwa Shababi
 
Habari Wana JF,

Haya watahiniwa mlitihaniwa 2016 jitazameni kama ni Elimu ya juu au diploma, matokeo yenu yapo hewani. Ila three nyingi hazitoenda chuo kikuu. Kwa maana mtu kapata DE, BE na kadhalika.

nimepata div 3 point 14
Gs S
Kisw D
Geog S
Eng D naweza kuingia chuo kikuu mkuu tafadhal msaada
 
KIBAHA

Div -I= 90, Div-II= 59, Div-III= 14 Div-IV= 1 Div-0= 0

POSITION NATIONALWISE = 7

KISIMIRI

Div -I=50 , Div-II=13 , Div-III=0 Div-IV= 0 Div-0= 0

POSITION NATIONALWISE = 1

ILBORU

Div -I= 116, Div-II= 72, Div-III= 30 Div-IV= 0 Div-0= 0

POSITION NATIONALWISE = 9

TABORA GIRLS

Div -I=62 , Div-II= 56, Div-III=56 Div-IV= 15 Div-0= 0

POSITION NATIONALWISE =13

Mzumbe, Tabora Boys na SHULE ZA VIPANGA LOADING.........

[emoji767] Mchwa Shababi
hakika shule za serikali zinarudi kwenye ubora wake
 
Mzumbe!!!
Sijui kwa nini Shule au chuo ulichosomea kikitajwa unahisi kama unatajwa vile!
 
Back
Top Bottom