Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

Ni kwelii
1468575637471.jpg
 
MSALATO

Div -I= 32, Div-II=40 , Div-III= 10 Div-IV= 1 Div-0= 0

POSITION NATIONALWISE =21
 
Kisimiri wapo safi na ni mchanganyiko, wakubali tu daaaa brother
Kisimiri Advance siyo mchanganyiko

Sijakataa kwamba wapo safi nimekuambia uchache wao umewabeba kama ilivyokuwa kwa Feza na private zilizokuwa zinashika usukani
 
Ningependa kuwapongeza vijana wote waliohitimu form 6 kwa matokeo yao mazuri lakin sio mwisho kazeni buti......GOD BLESS YOU ALL
 
Kisimiri Advance siyo mchanganyiko

Sijakataa kwamba wapo safi nimekuambia uchache wao umewabeba kama ilivyokuwa kwa Feza na private zilizokuwa zinashika usukani
Lakini kwa walioingia form six mwaka huu ni mchnganyiko, au siyo. Maana kuna binti mmoja alichaguliwa hapo.
 
Back
Top Bottom