Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Ulikuwa una hamu sana, mcheki mwanao sasaAhsante mkuu
Ulikuwa una hamu sana, mcheki mwanao sasa
Isaambee, mwana mama eee, Isambee.......iko elewa?
Hizi A nyingi hivi wamepewa bure au ndo watoto wa sasa ni vichwa haswa?Isaambee, mwana mama eee, Isambee.......iko elewa?
Siasa, utasikia kesho kutwa kuwa, mama amefaulishaHizi A nyingi hivi wamepewa bure au ndo watoto wa sasa ni vichwa haswa?
Yeye alifaulu kwanza?Siasa, utasikia kesho kutwa kuwa, mama amefaulisha
Umeangalia ya kidato cha pili kwa shule za serikali?Hizi A nyingi hivi wamepewa bure au ndo watoto wa sasa ni vichwa haswa?
Ni assessment ya muhimu sana kujua mtoto anaendeleaje. Kama wewe ni mzazi, mwalimu au mdau mwingine wa elimu utajua umuhimu wa majaribio haya.Hiyo mitihani haina uzito wowote
Wapo wanaorudia mkuu.. na ni wengi..Hiyo mitihani haina uzito wowote
Za kupk hizoHizi A nyingi hivi wamepewa bure au ndo watoto wa sasa ni vichwa haswa?
Je F ni za nini maana huko dumu fagio wamepata zero na four na wachache threeZa kupk hizo
Physics ina namna ngumu sana katika ufundishaji na ujibuji pia.....Wazee Physics imegaragaza sana vijana kuliko hata hesabu
Darasa la nne kingereza kimewagaragaza vibaya mno st kayumba