sam oldskool
Member
- Oct 17, 2014
- 18
- 5
Haifunguki hiyo link.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka link#Habari:Baraza la mitihani
nchini Necta limetoa matokeo
ya kidato cha nne ya mwaka
2015 kwa kutumia mfumo wa
Division badala ya GPA
ambapo ufaulu umeshuka
kutoka asilimia 69.75 2014
hadi asilimia 67.91,2015.
GPA keshatumbuliwaGPA KATOLEWA?
don't panic mfogo wangu.stay calm.Mbna hayaonekani
s.1774/0156 mapemaWeka namb uangaliziwe fasta
Mbona haifunguki
ni kweli kabisaNi kweli yametoka na mi nishamchekia dogo. Hizo link hazifunguki coz user ni wengi vuta subra itafunguka mkuu
GPA KATOLEWA?
mkuu naomba uniangalizie hii apa s.3190/0055Ni kweli yametoka na mi nishamchekia dogo. Hizo link hazifunguki coz user ni wengi vuta subra itafunguka mkuu