Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015

Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015

Mleta uzi mistari miwili ya Mwisho umesema wavulana tupu. Sahihisha hapo
 
Hii habari ya division ndo inaelezea uhalisia sio GPA. Div 1 ni 1.27%
 
Mbona wale waliokua wanaulizia matokea hawapo hewani hivi sasa?
 
Sumu za panya kamba na vihatarishi weka mbali na wahanga.
 
Naona tumeanza tena kamchezo ka kurudi kinyumenyume. Laki moja kufeli si jambo zuri kwa maana nyingine ni watu tutakaokaa nao vijiweni bila ya chochote
 
Back
Top Bottom