Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015

Ni kweli yametoka na mi nishamchekia dogo. Hizo link hazifunguki coz user ni wengi vuta subra itafunguka mkuu
 
subirien tu mzingo wa matokeo wataachia tusiraumu kitu ambacho bado kuachiwa ndo inavyokuwa vipindi vilivyopita . polen wanafunzi rohoo juu kama kula chakula akinogi
 
Hii website ya baraza mbona kimeo yaani nusu saa sasa nahangaika kuifungua lakini inakataa.😡😡😡
 
Siku hizi hamna penalti ukitaga Hesabu unapelekwa Div 3
 
aliyoko hewan aniangalizie huyu mtoto S.2295/0094 kutoka MAIRIVA SEC SCHOOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…