joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kwa jinsi niijuavyo Tanzania,mpaka sasa unaweza kuta tayari ana kesi zaidi hata ya 10 za kujibu,ndipo unajiuliza zimetokea wapi na kavunja sheria gani.Huo ni mwanzo tu nadhani mpaka j3 watampandisha kizimbani sasa hivi watakuwa wanatafuta kesi ya kumpa
Primary court magistrate Act inamkataza mtu yeyote kutoa matusi hadharani hivyo apelekwe mahakani akajibu shtaka la kutoa matusi.
Hahahaaaa!hebu usinichoshe miyee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]Basata wasivyo na aibu wanaweza wakamsitishia na hilo pia. Wakasema wao ndiyo watoa leseni kwa watu wanaotaka kujiajiri kwenye kuchamba wenzao
Umenena kama mtu mwenye hekima ya juu zaidi kushinda yote.Kama wapo sahihi, ni busara, mara nyingi, kuwaheshimu watu wenye "power". Wana athari kwa kiasi kikubwa kwenye mustakabali wa maisha yako.
Hamna kesi.Labda watungeHuo ni mwanzo tu nadhani mpaka j3 watampandisha kizimbani sasa hivi watakuwa wanatafuta kesi ya kumpa
Wamuongezee nyingine 10 asitoke hadi uchaguzi mkuu upiteKwa jinsi niijuavyo Tanzania,mpaka sasa unaweza kuta tayari ana kesi zaidi hata ya 10 za kujibu,ndipo unajiuliza zimetokea wapi na kavunja sheria gani.
Kwa kosa lipi kisheria?.Kisheria Dudubaya hana kosa,ila kimaadili kweli alikosea.
Hizi nchi zetu bwanaaa,,watu ni maskini mpaka kifikra,, kuna muda unajiuliza hawa watu wa nauelewa kweli,, daah! Aibu nimeona Mimi,, sijui nchi zilizoendelea wanatuchukuliajee,,.
Nimeona tamko, na ningependa kufanya comment mstari baada ya msitari kama ifutavyo:
Mosi, BASATA wanasema:
View attachment 1034718
Aya hii ni taarifa, na haina lolote la kujadili kwani mamlaka hayo yako ndani ya uwezo wa kisheria wa BASATA.
Pili, BASATA wanasema:
View attachment 1034719
Hapa kuna kuna tatizo. Kukamatwa na Jeshi la Polisi ni kutuhumiwa. Kutuhumiwa sio kuhukumuiwa. Katiba ya nchi inasema kila mtu anayo haki ya kuhesabiwa mwenye haki mpaka mahakama inapomtia hatiani. Dudubaya hajatiwa hatiani na mahakama. Kwa hiyo, uamuzi wa BASATA unaweza, na unapaswa kufanyika, baada ya hukumu ya mahakama na sio kabla yake. Kwa hiyo, aya hii inamaanisha kuwa BASATA wamefanya maamuzi yanayokiuka Katiba ya nchi.
Tatu, BASATA wanasema:
View attachment 1034720
Aya hii inaendeleza kosa lililofanyika aya ya hapo juu. Kwamba Dudubaya ni "raia mwema" au kinyume chake ni suala la kuamuliwa na mahakama na sio vingnevyo. BASATA walipaswa kusbiri maamuzi ya mahakama ili wachukue hatua hii. Lakini wameitangulia mahakama. Wamekosea.
Na nne, BASATA wanasema,
View attachment 1034721
Aya hii imekaa kiswahili kweli kweli. Kwamba kuna Watanzania wengi "waliojitokeza kukemea kitendo cha Msanii Dudubaya" kwa sababu wanaona "hakifai," haimaanishi kwamba mahakama imetoa hukumu ya kisheria. Kisheria tunasema "plausibility does not imply validity." Kwa hiyo, BASATA wametumia sheria za mitaani kana kwamba ni sheria za kimahakama. Wamekosea.
Hivyo, naona kwamba, BASATA wanaendeleza utamaduni mpya wa baadhi ya vyombo vya serikali "kufanya kazi kwa mujibu wa matamko ya wakubwa" badala ya kuangalia sheria inasema nini. Utamaduni huu haukubaliki kwa Watanzania wanaojua na kuheshimu kanuni za utawala bora.
Kanuni moja ya utawala bora ni kanuni ya usawa mbele ya sheria.
Yaani, "the same law should apply to like persons in like circumstances."
BASATA wamezingatia kigezo hiki ? Hapana
Na bahati nzuri ni kwamba, Waziri wa Michezo, Dr. Harrison Mwakyembe, ni Mwanasheria Nguli. Nimesoma PHD Thesis yake yote. Yuko safi kichwani. Pia ni mlokole mzuri. Wengi tuliona alivyousindikiza mwili wa hayati Samwel Sitta kwa mbwembwe tosha za machozi ya Kilokole. Tunataka imani yenye vibwagizo vya matendo.
Ama sivyo, tutahitimisha kwamba ulokole ule ulikuwa ni usanii, na usanii sio taji lenye heshima kwa mtu mwenye umri kama wa Dr. Harrison Mwakyemba.
Mama Amon.
Kazi kwake sasa..maisha ni vile unavyoamua kuishi
Ulivyo fariki Margaret Thatcher watu wakigundua Champaign mitaani na wengine walishangilia na kusema mchawi, lakini hakuna aliye kamatwaKaingi kwenye 18 za Muingereza... Sasa atatoka kwenye jibapa kwenda kwenye gongo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakin bado hakuna la kumfanya afungiwe hapo,Basata wamefata order ya boss wao na si vinginevyoBasata yatangaza kumfutia usajili msanii Tumaini Godfrey,
kutokana na kuagizwa na waziri mwakyembe kumchukulia hatua kali,
hii ni baada ya kumsema vibaya marehemu Ruge mtahaba,
kitendo ambacho kimewachukiza wengi.
Inshort,jamaa hatakama alikuwa anamchukia marehemu Sawa
lakini njia aliyochagua kuwasilisha machungu na dukuduku zake ni mbaya Sana,sio njem.
The Future is in Our Brain,Tongue's&Hand's.
aungane na Juma lokole
Duh Mama Amon....mbona ni kama flani....kwa nondo hizi mujarabu.
Nimeona tamko, na ningependa kufanya comment mstari baada ya msitari kama ifutavyo:
Mosi, BASATA wanasema:
View attachment 1034718
Aya hii ni taarifa, na haina lolote la kujadili kwani mamlaka hayo yako ndani ya uwezo wa kisheria wa BASATA.
Pili, BASATA wanasema:
View attachment 1034719
Hapa kuna kuna tatizo. Kukamatwa na Jeshi la Polisi ni kutuhumiwa. Kutuhumiwa sio kuhukumuiwa. Katiba ya nchi inasema kila mtu anayo haki ya kuhesabiwa mwenye haki mpaka mahakama inapomtia hatiani. Dudubaya hajatiwa hatiani na mahakama. Kwa hiyo, uamuzi wa BASATA unaweza, na unapaswa kufanyika, baada ya hukumu ya mahakama na sio kabla yake. Kwa hiyo, aya hii inamaanisha kuwa BASATA wamefanya maamuzi yanayokiuka Katiba ya nchi.
Tatu, BASATA wanasema:
View attachment 1034720
Aya hii inaendeleza kosa lililofanyika aya ya hapo juu. Kwamba Dudubaya ni "raia mwema" au kinyume chake ni suala la kuamuliwa na mahakama na sio vingnevyo. BASATA walipaswa kusbiri maamuzi ya mahakama ili wachukue hatua hii. Lakini wameitangulia mahakama. Wamekosea.
Na nne, BASATA wanasema,
View attachment 1034721
Aya hii imekaa kiswahili kweli kweli. Kwamba kuna Watanzania wengi "waliojitokeza kukemea kitendo cha Msanii Dudubaya" kwa sababu wanaona "hakifai," haimaanishi kwamba mahakama imetoa hukumu ya kisheria. Kisheria tunasema "plausibility does not imply validity." Kwa hiyo, BASATA wametumia sheria za mitaani kana kwamba ni sheria za kimahakama. Wamekosea.
Hivyo, naona kwamba, BASATA wanaendeleza utamaduni mpya wa baadhi ya vyombo vya serikali "kufanya kazi kwa mujibu wa matamko ya wakubwa" badala ya kuangalia sheria inasema nini. Utamaduni huu haukubaliki kwa Watanzania wanaojua na kuheshimu kanuni za utawala bora.
Kanuni moja ya utawala bora ni kanuni ya usawa mbele ya sheria.
Yaani, "the same law should apply to like persons in like circumstances."
BASATA wamezingatia kigezo hiki ? Hapana
Na bahati nzuri ni kwamba, Waziri wa Michezo, Dr. Harrison Mwakyembe, ni Mwanasheria Nguli. Nimesoma PHD Thesis yake yote. Yuko safi kichwani. Pia ni mlokole mzuri. Wengi tuliona alivyousindikiza mwili wa hayati Samwel Sitta kwa mbwembwe tosha za machozi ya Kilokole. Tunataka imani yenye vibwagizo vya matendo.
Ama sivyo, tutahitimisha kwamba ulokole ule ulikuwa ni usanii, na usanii sio taji lenye heshima kwa mtu mwenye umri kama wa Dr. Harrison Mwakyemba.
Mama Amon.
Nisaidie kushangaa. Yaani kwa vile ni msanii basi akifanya kosa hata kama halihusiani na sanaa basi wao ni kufungia tu! Kama kuna jinai si polisi na mahakama zipo. Au mie ndo sielewi na akili zangu za usiku?😴Tanzania bwana,sasa wanamfungia kafanya kosa gani?