Baraza la sanaa(BASATA) lasitisha usajili wa Msanii Dudubaya

Dudubaya anamwaga oil chafu
 
Serikali ipo sahihi ilivyofanya,

Lakini mbona Musiba amemdhihaki Sana Lisu haijachukua gatua?
 
Serikali ipo sahihi ilivyofanya,

Lakini mbona Musiba amemdhihaki Sana Lisu haijachukua hatua?
 
Hii inaonesha namna gani kwa sehemu kubwa watanzania ni wanafiki kwa mujibu wa huo 'utamaduni wa mtanzania.'
 
Bongo bila kuwa mnafki maisha hayaendi, mimi naona hata wale watakaokuwa wanasifia uongo nao wachukuliwe Hatua , tunakoelekea siyo pazuri

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Sasa basata hapo leseni yake ya usanii inahusiana nini? Hawa wanasheria wa basata hapana kwa kweli.
 
Sidhani kama utaratibu walioutumia basata una uhalali kisheria maana ukitaka kumhukumu mtu sharti namba moja ni lazima umuite na umhoji akupe sababu zake za utetezi ndo unaamua inaitwa principle of natural justice iliasisiwa na Mungu alipomuita Adam bustani ya Eden...
 
Mimi ndo maana sijahuzunishwa na huu msiba,sababu mambo yanayoendelea nchini kama huu upuuzi aliekufa alichangia kwa sehemu kubwa.....Ikiwezekana wafe wote.
 
Wamuhoji nani sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Primary court magistrate Act inamkataza mtu yeyote kutoa matusi hadharani hivyo apelekwe mahakani aka tjibu shtaka la kutoa matusi.
Mahakama imesha toa hukumu?

Nchi ipo kwenye auto pilot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…