kwenda21
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,423
- 3,414
Hiyo itajulikana mahakamani cha msingi amewekwa kwa usalama wake, na atakaa sana huko, dudu ni mtu aliyepoteza direction, mtu mwenye akili sawasawa na aliyelelewa na wazazi vizuri hawezi fanya alichofanya dudu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Alitukana tusi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app