Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,277
- 2,888
Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar (BASSFU) limesimamisha shughuli zote za sanaa na burudani Visiwani Zanzibar kupisha usiku wa mkesha wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) Maulid ya Mtume, leo Jumapili September 15,2024 kuamkia kesho September 16,2024 (Maulid Day).
Akiongea na #AyoTV, Katibu wa BASSFU, Juma Chum amesema katazo hilo limekuja kwenye maeneo yote ya burudani Kwenye kumbi za starehe, kumbi za sherehe za maharusi, mabaa na sehemu nyingine za burudani.
“Baraza linasimamisha shughuli zote za sanaa na burudani kupisha usiku wa mkesha wa uzawa wa Mtume Muhammad (S.A.W)“
Umati Muhammad katika moja na mbili.
#MillardAyoUPDATES