Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,277
- 2,888
alafu wanataka kuifananisha zanzibar na dar es salaam wanaforce kweli watu wajae huko..barabara zenyewe nyembamba kweli..Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar (BASSFU) limesimamisha shughuli zote za sanaa na burudani Visiwani Zanzibar kupisha usiku wa mkesha wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) Maulid ya Mtume, leo Jumapili September 15,2024 kuamkia kesho September 16,2024 (Maulid Day).
Akiongea na #AyoTV, Katibu wa BASSFU, Juma Chum amesema katazo hilo limekuja kwenye maeneo yote ya burudani Kwenye kumbi za starehe, kumbi za sherehe za maharusi, mabaa na sehemu nyingine za burudani.
“Baraza linasimamisha shughuli zote za sanaa na burudani kupisha usiku wa mkesha wa uzawa wa Mtume Muhammad (S.A.W)“
View attachment 3096601
Umati Muhammad katika moja na mbili.
#MillardAyoUPDATES
Ila Christmas?
Sasa kuna ulazima gani wa kuzuia sherehe za watu? Kama walishapanga muda sherehe ha harusi, watafsnya nini?Siku ya kuzaliwa mbora wa viumbe.
Wapo sahihi
WavumilieSasa kuna ulazima gani wa kuzuia sherehe za watu? Kama walishapanga muda sherehe ha harusi, watafsnya nini?
Siku ya kuzaliwa mbora wa viumbe.
Wapo sahihi
Wakristo hawana mentality hizi, wazuie wasizuie watasherekea tu.Ila Christmas?
Yaani Mbora kuliko viumbe vyote?Siku ya kuzaliwa mbora wa viumbe.
Wapo sahihi
kabisaYaani Mbora kuliko viumbe vyote?
Kuliko Malaika?Ehee.mtukufu wa daraja la juu
kabisa