Baraza la Sanaa limfungie Bambo kazi zake. Anaharibu sana Kiswahili kwa makusudi

Dola ni neno la kiswahili, limetoholewa kutoka neno dollar ,ni sawa na mengine yaliyotoholewa kama vile shule, ,hela nk.
Ulielewa nilichokisema lakini? Au ndo maana unashindwa kuelewa kazi ya sanaa ya Bambo?? Ni sahihi mimi nije dukani kwako kununua kilo ya mchele nikuulize bei unitajie ni dola 1.04?? Bajeti ya kitanzania inatakiwa pesa tuambiwe wamelipa kiasi cha dola au thamani yake itajwe kwa tsh??
 
Wakitaja kwa mfumo wa dola ndio wameharibu kiswahili?
 
Naunga mkono,
Kazi ya msanii ni lazima iende samabamba katika kuimarisha lugha yetu ya asili si kuharibu.
Kama hana namna nyingine ya kufanya sanaa yake akae pembeni.
 
Nchi hii imejaa Ufisadi,uchawa,ushoga unakithiri ,Uongozi usioeleweka na elimu duni sasaivi kijana Hance mtanashati kashiba ugali anakuja kutuambia serikali ihangaike na Bambo embu kuwa serious
 
hatakiwi kupotosha, yeye awe mstari wa mbele kufanya vitu vilivyo sahihi
Yeya kama msanii ameakisi kile kinachotokea kwenye jamii, yaani amewasanua raia wasiojua nini kinahapen pande zao kule Songea.

Sasa kazi ya kufanya vitu vilivyo sahihi inaweza kuwa ya msanii mwingine kutoka BAKITA( kama yupo)...
 
Hataru
 
Chaiiiii☕
 
Naunga mkono,
Kazi ya msanii ni lazima iende samabamba katika kuimarisha lugha yetu ya asili si kuharibu.
Kama hana namna nyingine ya kufanya sanaa yake akae pembeni.
Akae chonjo awapishe wenzake.
 
Anitwa Komfyubasi semagusi, zinkongili na zinkongili, niritrito no sarendo
 
Mkuu uwe unaangalia madhumuni nasio kuhukumu tu😂.....ange kuwa anaongea Ivo akiwa anafundisha apo sawa ila Kwa lengo la kuchekesha sioni kama kunashidaaa....
 
Mapimbano uliyoanzo...nimishafiko mstaro wa mbelo, nipo juu ya kilelo nasemi nanyi juu ya haki sio kama napigi makelelo...hati nkifa saivo..mzko wangu ushanitoshi utabakia milelo na milelooo

Zimaaaa....zima mzikooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…