Baraza la Sanaa limfungie Bambo kazi zake. Anaharibu sana Kiswahili kwa makusudi

Ukimfungia huyo ukawafungie na wangoni wote ikiwezekana wapigwe marufuku wasija Dar
 
Mwanangu uko kwenye internship ya kazi ya uchawi?
 
Acha uhafidhina,lugha hukua,hishi na hufa unadhani kiswahili cha mwanzo ndio hichi kilichopo sasa.
 
Kwa
 
Kama hoja ni hiyo tu,na wale wote wanaoongea kwa lafudhi za lugha zao za asili nao wafungiwe.Nina maanisha hadi wazungu,wahindi,wachina na wengineo ili mbaki mnaoongea kiswahili "kinyoofu"!
 
Kama hoja ni hiyo tu,na wale wote wanaoongea kwa lafudhi za lugha zao za asili nao wafungiwe.Nina maanisha hadi wazungu,wahindi,wachina na wengineo ili mbaki mnaoongea kiswahili "kinyoofu"!
Wimbo wa Hakunaga wa Sumalee ulifungiwa kisa kiswahili kibovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…