13 February 2021
Ni wajumbe 57 walikubaliana na tuhuma wakati wajumbe wa senate 43 wamemuona hana hatia .
Baraza la Senate kwa utaratibu wake wa kutoa adhabu ya kumuona Rais anawajibika kwa lolote , ilitakiwa baraza la senate likubaliane kwa kura 67 yaani 2/3 ya wajumbe wa baraza la Senate kusema wanaona anahatia.
Hii ni mara ya pili kwa Donald Trump kuchomoka bila kupewa adabu na chombo hiki cha senate chenye uwezo wa kupiga kura kumuajibisha Rais ili asiweze tena kugombea nafasi ya kisiasa.
Maseneta 7 wa Republican chama cha Donald Trump waliungana na chama cha Democrats kumpigia kura ya ana "hatia". Wajumbe hao wa Republican waliompigia kura ya "hatia" ni pamoja na ma-seneta Sasse, Romney, Burr, Collins, Murkowski, Toomey na Cassidy.
Kushindwa kwa baraza la seneti kwa mara ya pili kupata kura za kutosha kumuajibisha Donald Trump, ni dalili ya ushindi kwa Rais mstaafu Donald Trump na ataituumia kisiasa kuendeleza matumaini ya kuibuka ktk siasa za Marekani ikiwemo uwezekano wa kugombea nafasi ya urais wa Marekani katika siku zijazo.
13 Feb 2021
The Senate voted to acquit former President Donald Trump on charges of inciting the January 6th insurrection on Saturday. Seven Republicans joined Democrats in voting to convict Trump but the 57-43 vote fell short of the two-third majority required to pass the resolution. Ryan Goodman, NYU Professor of Law and Co-Editor-in-Chief of Just Security joins to discuss the implications of what transpired on the Senate floor.
Source: PBS NewsHour

Trump acquitted: 7 GOPers vote to convict, McConnell condemns but votes not guilty