dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,906
- 8,243
hasa ukizingatia biden sio popular (ndipo nashangaa kura 81M zilikotoka),,,, so far Biden atawaangusha sana Democratic maana ni kama Obama yupo WH.....Walichokiogopa democrats sasa kinaelekea kutokea. Naona Democrats wanaogopa Trump akigombea tena 2024, maana pamoja na madudu tuliyoamishwa kuwa ameyafanya kwenye utawala wake bado kura zake ziliongezeka kutoka 62,984,828 mwaka 2016 hadi 74,216,154 mwaka 2020! Kura hizi zinamfanya awe second popular president of USA akitanguliwa na Biden aliyepata 81,268,924. Ongezeko hili ndilo linawaogopesha Democrats na hiyo kujaribu kufanya kila lililo ndani ya sheria kumzuia Trump asiweze kugombea tena urais kabisa. Naona taifa la Marekani likianza kugawanyika na kutengeneza kundi la white supremacy, maana sababu halisi ya kura za Trump kuongezka haziko wazi
Mimi naona Democrats walikosea tangu mwanzoni mwa utawala wa Trump maana kiukweli ni kama hawakuwahi kuamini kuwa Trump alishinda urais 2016 na ndiyo maana kulifanyika vote recount katika majimbo kadhaa, Iliposhindikana ikaja hoja ya Urusi kuingilia uchaguzi nk. Na kwakweli urais wa Trump ulikutana na vikwazo vingi toka Democrats na hivyo sishangai kuwa na Repiblicans watakapopata nafasi watajaribu kumkwamisha Biden ingawa nafasi yao ni ndogo kwa kuwa Democratas wanaongoza mabunge yote mawili.
Democrats wanapaswa kuwa waangalifu na Pelosi maana anaonekana kama yeye na Trump wana chuki fulani hivi - sijui ni personal au ni ya kiuongozi.
Unaona hata baada ya haya mashtaka kutupiliwa mbali, bado Pelosi anataka kuunda commission ya kuchunguza suala hili ili kumfungulia Trump mashtaka ya jinai - lengo ni lile lile. Naiona USA ikigawanyika, maana na Trump ni hard fighter and the 74m who voted for him are likely not to back down either
nyakati hizi za janga la covid anajiandaa kuwapa uraia wahamiaji haramu 11M,..... tusubiri