Baraza la Senate laamua Donald Trump hana hatia

hasa ukizingatia biden sio popular (ndipo nashangaa kura 81M zilikotoka),,,, so far Biden atawaangusha sana Democratic maana ni kama Obama yupo WH.....

nyakati hizi za janga la covid anajiandaa kuwapa uraia wahamiaji haramu 11M,..... tusubiri
 
Hata wanaomsupport Biden wanajuta sahizi kwa jinsi anavyoua ajira kwa Executive orders zake.
 
Trump anagombea 2024. GOP wanamhitaji sana Trump 2022
Upo sahihi mahusioano yasiyofaa kati ya baden na Israel yatamuangusha baden kumbuka jeshi, taasisi za kiusalama,na mifumo ya kijeshi imeshikiliwa na wayahudi
 
There is no coming back in any "form" whatsoever!

Trump ameshapotezwa na kushindiliwa kwenye shimo refu.

Bado mashtaka ya jinai yanamsubiri!
Utasubiri Sana pelosi na wahuni wenzake wa democratic wameshindwa kumzuia Trump asigombee 2024
 
Naunga mkono ulichokiongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…