Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira kurejea mtaani kufanya ukaguzi Mei 28, 2023

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira kurejea mtaani kufanya ukaguzi Mei 28, 2023

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linatarajiwa kufanya ukaguzi wa uzingatiaji na utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Maingira (2004) na Kanuni zake.

Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Dkt. Eng. Samuel Gwamaka Mafwenga amesema zoezi hilo linatarajiwa kuanza Mei 28, 2023 na litahusisha uhakiki wa vyeti vya TAM pamoja na uzingatiaji wa masharti na ulipaji wa ada na Tozo mbalimbali.

Jionii.jpg


Pia soma: NEMC yazifungia Bar, Kumbi za Starehe 89 zikiwemo Wavuvi Kempu, Boardroom, Ware House
 
waje sinza kion kuna kanisa pale la walokole ukuta wake upo nusu tu lina kelele balaa kuanzia ijumaa, jmosi na ,jpili hatulali
 
Back
Top Bottom