Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira na wadau Dar wakutana katika kikao maalum cha udhibiti kelele

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira na wadau Dar wakutana katika kikao maalum cha udhibiti kelele

Kwa kweli imekuwa kero kubwa lakini naona NEMC wapo serious na swala hili ,kwani kitaalamu pia imegundulika kelele zimekuwa na madhara makubwa kwa jamii ikipelekea ulemavu na hata vifo ,na juzi nimeona wamekutana na kamati ya amani ili kumaliza kelele zinazotokana na taasisi ya dini
Kimsingi huyu MD wao yupo vizuri kichwani
 
Hiyo ni nguvu ya soda tu sheria imetungwa tangu miaka mingi hilio pita wali kuwa wapi?

Mbona makanisa ya kirokole miziki kwenda mbele hawayaoni?

Makampuni ya cm miziki mikubwa hawayaoni?

Mbio za mwenge ukikesha mitaani miziki zinaa usiku kucha watu hawalali hawaoni?

Magereji kwenye mitaa ya watu na viwanda uchafu huo na moshi wa viuma hawaoni?


Mikutano ya wakuu wa mikoa wilaya wabunge miziki mikelele hawaoni?

Wao walicho kiona ni mabaa tu huo ni unafiki mzazi mwenye akili watoto wakikosa hanapiga wote bila kujali mtoto wa kuzaa au wa kambo wote bakora tu
hapo ondoa makanisa hayo wewe, makanisa hayapigi kelele, watu wako ibadani wakimsifu na kumuabudu Muumba wao
 
Wewe kwa maono yako ivo hivyo lakini suala la kelele za mitetemo zina asali zaidi ya unavyofikiria wewe wajawazito mimba zinatoka watu wanapata ukiziwi wewe unazungumzia shangwe fikiria pia athari zinazopatikana watu wanapata stress wanashindwa kulala wale wanaotaka kumpumzika inakosekana lakini wanadeal na vyote fuatilia mbona kuna viwanda wamefunga juu ya uchafuzi sema umeangalia upande unaokupa faida tu ukasahau upande wa hasara
Kwa hiyo watu waache kufurahi kisa kuna watu wataathirika kwa kelele hizo?
 
Back
Top Bottom