Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Baada ya Viongozi wa Africa kufanya vikao vyao vya kunywa kahawa Dar es Salaam na Zimbabwe huku wakipiga picha kwa mbwembwe bila kuupatia suluhisho la kudumu Mgogoro wa Congo naona wazungu wameamua kuwaonesha Waafrika kwa nini wanawaitaga Nyani.
Baada ya jana Wizara ya Fedha ya Marekani kumwekea vikwazo vya kutisha mshirika mkuu wa rafiki mkuu wa Rais Kagame, Generali James Kabarebe, Leo Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa amri na azimio kuitaka Rwanda kuondoa mara moja Congo bila masharti yeyote.
Pia wavitaka vikosi vya M23 na Rwanda kuondoka kwenye maeneo ya Congo haraka sana
Source: CNN na Reuters