Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa laitaka Rwanda kuondoa majeshi haraka nchini Congo

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa laitaka Rwanda kuondoa majeshi haraka nchini Congo

Lord denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
15,819
Reaction score
33,255
Baada ya Viongozi wa Africa kufanya vikao vyao vya kunywa kahawa Dar es Salaam na Zimbabwe huku wakipiga picha kwa mbwembwe bila kuupatia suluhisho la kudumu Mgogoro wa Congo naona wazungu wameamua kuwaonesha Waafrika kwa nini wanawaitaga Nyani.

Baada ya jana Wizara ya Fedha ya Marekani kumwekea vikwazo vya kutisha mshirika mkuu wa rafiki mkuu wa Rais Kagame, Generali James Kabarebe, Leo Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa amri na azimio kuitaka Rwanda kuondoa mara moja Congo bila masharti yeyote.

Pia wavitaka vikosi vya M23 na Rwanda kuondoka kwenye maeneo ya Congo haraka sana

Source: CNN na Reuters
 
Russia kuivamia Ukraine baraza la usalama halijafanya chochote,

Marekani haina mchuzi kwa sasa wa kulainisha watu na mambo ndani ya taifa hilo yanaenda harijojo chini ya mwendawazimu Trump.
 
Back
Top Bottom