Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mwishoni mwa wiki hii, Baraza la Vijana la Bunge la Tanzania likiongozwa na Zainab Katimba limezindua mpango wake wa kwanza wa mkakati wa miaka mitano (2024-2029). Baraza hili la vijana ni chombo cha kuwaunganisha vijana na kutoa fursa za kipekee kujadili masuala yanayowahusu moja kwa moja.
Ni matumaini yetu kwamba mpango huu utaleta mabadiliko chanya na kuwa kichocheo cha maendeleo endelevu kwa taifa letu. Kizazi kijacho kinahitaji msaada wetu, na ni kupitia juhudi kama hizi tunaweza kuhakikisha kwamba wanafanikiwa na kuleta mabadiliko tunayoyataka kuona.