KERO Baraza la Watalamu wa Radiografia (MPIRC) kuchelewesha leseni zetu

KERO Baraza la Watalamu wa Radiografia (MPIRC) kuchelewesha leseni zetu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
"Kwa baraza la watalamu waalamu wa radiografia (MPIRC) tunaomba ufafanuzi juu ya ucheleweshaji wa utoaji wa leseni za awamu ya pili kwa mwaka huu wa 2026.

Tulio wengi tumekamilisha taratibu zote za maombi na malipo kupitia mfumo wa HPRS (Tanzania Health Practitioner Registration System), lakini hadi sasa leseni hazijatoka.

Hali hii inatukwamisha kiutendaji kwani ni kinyume cha sheria kufanya kazi bila leseni hai, na inatuweka katika hatari ya kupoteza fursa za ajira.

Tunaomba mamlaka husika zishughulikie changamoto hii haraka ili kuturuhusy kuendelea na majukumu ya kutoa huduma za mionzi kwa jamii.
 
Back
Top Bottom