johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huku watakwambia bunge halina " mafungu"!Waziri wa Zanzibar anatembelea Balaji mpaka baiskeli lakini huku bara balaaaaa
Wazanzibari pamoja na kutawaliwa na Tanganyika bado wana kaustaarabu fulani hivi kenye utu ndani yake. Nahisi uislamu wao unawasaidia katika hilo, unawafanya waone soni kidogo.
Kweli kabisa, huku kwetu magari ya mwenye mkoa wake thamani yake inazidi magari ya wakuu wote was mikoa ya znz.Waziri wa Zanzibar anatembelea Balaji mpaka baiskeli lakini huku bara balaaaaa
Na ndio maana Kipindi choote cha maraisi waislam tulikua na maisha Mazuri yenye kuheshimianaWazanzibari pamoja na kutawaliwa na Tanganyika bado wana kaustaarabu fulani hivi kenye utu ndani yake. Nahisi uislamu wao unawasaidia katika hilo, unawafanya waone soni kidogo.
Hata Tanganyika isiyo chini ya Ccm inaweza kupiga hatua kubwa sana.Mi naamini Zanzibar isiyo chini ya kivuli cha Tanganyika inaweza kufika mbali zaidi kulinganisha na Zanzibar iliyo chini ya mwamvuli wa Tanganyika.
Una uhakika bwashee?!Na ndio maana Kipindi choote cha maraisi waislam tulikua na maisha Mazuri yenye kuheshimiana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo linaeleweka, sema dah, Matanganyika bhana majizi kishenzi!Hata Tanganyika isiyo chini ya Ccm inaweza kupiga hatua kubwa sana.
Kwani haiko huru bwashee?!Zanzibar ingeachwa huru tungeaibika.
Usitufuate fuate....Yani mawaziri wa Magufuli ni weupe vichwani hawajiongezi hawajui hata wanaelekea wapi wapo wapo tu.