Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Taja ubaya wa hata mmoja wa Kiislam kama huu wa sasaUna uhakika bwashee?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja ubaya wa hata mmoja wa Kiislam kama huu wa sasaUna uhakika bwashee?!
Kwani haiko huru bwashee?!
Nikianza kuorodhesha hapa hapatatosha.........itoshe tu kusema kila zama na kitabu chake!
Siyo kwamba Tanganyika ndio koloni la Zanzibar?!!Zanzibar ni koloni la Tanzania [Tanganyika].
Safi sana Baraza la wawakilishi ZNZ!!! Huku kwetu wao wanawaza Posho tu kuzifakamia.Baraza la wawakilishi Zanzibar ambalo liko kwenye mkutano wao wa mwisho kabla halijavunjwa rasmi limeamua fedha zote zilizobaki kwenye akaunti zitumike kutengeneza Barakoa ambazo zitagawiwa bure kwa wananchi.
Fedha hizo atakabidhiwa makamu wa Rais balozi Seif ili azikabidhi kwa vikosi vya ulinzi watakaotengeneza barakoa hizo.
Naye balozi Seif amewashukuru wawakilishi hao kwa kutopuuzia madhara ya janga hili hatari la Corona.
Chanzo: ITV habari!
Bwashee una uhakika?!"Muungano unaiumiza sana Zanzibar"
Wazanzibari pamoja na kutawaliwa na Tanganyika bado wana kaustaarabu fulani hivi kenye utu ndani yake. Nahisi uislamu wao unawasaidia katika hilo, unawafanya waone soni kidogo.
Zanzibar ni koloni la Tanzania [Tanganyika].
Bwashee una uhakika?!
Hili swali labda waulizwe uamsho nahisi wana majibu mazuri tu na kinachowakutaKwani haiko huru bwashee?!