Barbara afunguka

πŸ˜‚ πŸ˜‚ nashangaa mno MO mwenye asilima 49 ana sauti kuzidi wanasimba wenye asilimia 51, nlidhani maamuzi yanafanywa na wenye asilimia 51.
Yaani Simba wametapeliwa na Mo. Ila ndo hivyo hawajui watafanyaje. Huyo jamaa yeye na familia yao mali zao wamezipata kwa kutapeli mali za serikali miaka na miaka kwa hiyo ni wazoefu kwenye sekta ya utapeli. Kiufupi Mo ni tapeli.
 
Tafuta hela tafuta pesa vinginevyo utaumwa hata Na mbwa yako.!
 
HAJI anatumika tu na WAARABU (GSM,ASAS NA AZAM) kwa maono yangu BINAFSI hapa ni vita ya KIBIASHARA KATI YA WAARABU NA MHINDI .

Hapa wanaona MO anaweza kuwa maarufu sn AFRICA au kufanikiwa kibiashara sn endapo TIMU ya SIMBA itafika mbali sasa hapo ni wivu wa WAARABU hao watu naturally yao ni mahasidi.

I will guarantee kamaYANGU watasema wanauza hisa zao KAMA walivyo fanya SIMBA hao GSM hawezi kuweka hela za kununua hizo HISA I'm 100% sure hawa wezi fanya hivyo hata siku moja.
 
Watu mnao ishi kwa hisia hapa bongo simba itaendelea kutamba kwa aina hii ya washabiki wa utopolo
 
Wahindi wana roho mbaya sana.....tena ile bodi ya Simba ina watu sio kabisa...
 
Wahindi wana roho mbaya sana.....tena ile bodi ya Simba ina watu sio kabisa...
Manara aache umalaya kutaka kutumikia mabwana watatu kwa wakati mmoja. Mo, GSM na Azam! Sasa amekosa kote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…