Barbara Gonzalez abwaga Manyanga Simba SC, aandika barua ya kutoa notisi ya mwezi mmoja kujiuzulu

Kwangu ni habari njema.
Haiwezekani atusajilie akina Kyombo kwa kushindwa kutoa 400M wakati club ina udhamini mkubwa.

Nachukia ile kauli eti wachezaji wa namna hiyo wapo wengi tu!Ni upumbavu kudhani wachezaji wenye vipaji wako wengi tu na kupuuzia kusajili wanapopatikana

JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…