Barbara Gonzalez abwaga Manyanga Simba SC, aandika barua ya kutoa notisi ya mwezi mmoja kujiuzulu

Barbara Gonzalez abwaga Manyanga Simba SC, aandika barua ya kutoa notisi ya mwezi mmoja kujiuzulu

Barbra alikuwa icon ya SIMBA kimataifa..
Alikuwa matazamo kibiashara. ..Alihitaji pia azungukwe na watu wazuri wa kiufundi .

Hatujui nidhamu ya fedha ilikuwaje....mamake SIMBA imekua na viongozi wengi before...but Barbra nikimuona she is serious in club investment.badala ya wale wachumia tumbo..

Anyway hatujui sana mapungufu yake...lakini nani ataziba nafasi mwenye mvuto wa kibiashara..
Serious in club wakati kocha mkuu na kocha wa makipa wote walikua ni vibarua hadi ikafika hatua ikabidi wauze unga kujikimu.
 
Acha umbea mama J,usijipe umuhimu kwenye mambo ambayo huyajui stupid.
Hii kitu ilikuwa inafukuta chini kwa chini na ilikuwa inazimwa kiaina kuwa ndani ya klabu ni shwali kumbe penye moshi kinachofata ni moto,,Manara alisema akabezwa sasa kango'lewa na kauli ya manara imetimia rasmi,, Nakubaliana na yote yanayosemwa kwa sasa kuwa Mhindi kaisusa timu na hali ya kifedha imekuwa ngumu na basi la timu kukamatwa pamoja na wachezaji kutopewa posho zao ni dalili za ukata kwenye klabu,, Sasa mwandani wa mwekezaji katangulia anayefata ni Mzee wa kususa atataka auze hisa ambazo azijulikani alizilipia lini na wapi,,hapo ndo kutakuwa na mtifuano,,acha wafu wazikane mficha maradhi kifo umuumbua
 
Katoe kwanza kinyesi kwenye chupi,
Barabara kaona mbali sana, katumia akili kubwa kuachia ngazi Simba na kuamua kuwekeza kwa majukumu yake CAF. Huwezi kuwa kiongozi mwenye furaha kuongoza timu yenye viongozi wenye njaa . Huwezi kujiharibia CV kuendelea kushikilia timu mbovu iliyo nyuma ya vinara wa ligi Young African na huu mwaka wa pili makombe yote yanabaki jangwani.

Mashabiki maandazi wanaobwatuka ovyo wa Mbumbumbu FC watafute mtu mwingine wa kumtukana na kumuangushia jumba bovu pale Msimbazi kwa usajili mbovu na mpira wa ndondo!

Wadau muhimu wa Makolo FC watapukutika na timu inaweza kushuka daraja, huku timu ikiwa imeshasahau kuifunga Yanga ambayo ni furaha ya wanasimba sasa Barabara hawezi kushabikia na kuongoza vitu vibovu abaki anafanya nini Mbumbumbu FC?

Hata mimi ningesepa!
She is smart and beautiful[emoji16][emoji16]
 
Hiki sio kitu cha kufurahia kama unapenda soka la bongo,huyu demu alikuwa ana ishape Simba iwe na uwezo wa kujiendesha kwa kuziba mianya ya upotevu wa hela.

Najua wahuni wa Simba wakina Kassim Dewji wamefurahi, ila wanaiharibu timu kwani MO nae mda si mrefu ataamsha,mpira hela na mpira uwekezaji so akiamsha MO hata timu itasuasua nule ushindani utapungua.
Hivi kassim Dewj na Mo Dewj sio ndugu?
 
Hivi JamiiForums Member maarufu anayejulikana sana ni GENTAMYCINE aliyejiunga hapa mwaka 2013 Mwezi July au ni huyu Tapeli GENTAMYCIME aliyeiiga ID yake ili Kusafiria Nyota yake Kali Kiumaarufu na aliyejiunga hapa JamiiForums mwaka huu huu wa 2022?

Asante kwa Kunitaja hapa JamiiForums kwa hii ID yangu moja tu na ya Kipekee ya MINOCYCLINE 'Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person' sawa?
 
Hivi JamiiForums Member maarufu anayejulikana sana ni GENTAMYCINE aliyejiunga hapa mwaka 2013 Mwezi July au ni huyu Tapeli GENTAMYCIME aliyeiiga ID yake ili Kusafiria Nyota yake Kali Kiumaarufu na aliyejiunga hapa JamiiForums mwaka huu huu wa 2022?

Asante kwa Kunitaja hapa JamiiForums kwa hii ID yangu moja tu na ya Kipekee ya MINOCYCLINE 'Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person' sawa?
Popoma
 
Back
Top Bottom