Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Ujenzi wa ule uwanja wa kumfuta Babra machozi umefika wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serious in club wakati kocha mkuu na kocha wa makipa wote walikua ni vibarua hadi ikafika hatua ikabidi wauze unga kujikimu.Barbra alikuwa icon ya SIMBA kimataifa..
Alikuwa matazamo kibiashara. ..Alihitaji pia azungukwe na watu wazuri wa kiufundi .
Hatujui nidhamu ya fedha ilikuwaje....mamake SIMBA imekua na viongozi wengi before...but Barbra nikimuona she is serious in club investment.badala ya wale wachumia tumbo..
Anyway hatujui sana mapungufu yake...lakini nani ataziba nafasi mwenye mvuto wa kibiashara..
Hii kitu ilikuwa inafukuta chini kwa chini na ilikuwa inazimwa kiaina kuwa ndani ya klabu ni shwali kumbe penye moshi kinachofata ni moto,,Manara alisema akabezwa sasa kango'lewa na kauli ya manara imetimia rasmi,, Nakubaliana na yote yanayosemwa kwa sasa kuwa Mhindi kaisusa timu na hali ya kifedha imekuwa ngumu na basi la timu kukamatwa pamoja na wachezaji kutopewa posho zao ni dalili za ukata kwenye klabu,, Sasa mwandani wa mwekezaji katangulia anayefata ni Mzee wa kususa atataka auze hisa ambazo azijulikani alizilipia lini na wapi,,hapo ndo kutakuwa na mtifuano,,acha wafu wazikane mficha maradhi kifo umuumbua
Kwa hiyo tumekubaliana wakandarasi wa kumalizia Mo Arena nao wabwage manyanga
Barabara kaona mbali sana, katumia akili kubwa kuachia ngazi Simba na kuamua kuwekeza kwa majukumu yake CAF. Huwezi kuwa kiongozi mwenye furaha kuongoza timu yenye viongozi wenye njaa . Huwezi kujiharibia CV kuendelea kushikilia timu mbovu iliyo nyuma ya vinara wa ligi Young African na huu mwaka wa pili makombe yote yanabaki jangwani.
Mashabiki maandazi wanaobwatuka ovyo wa Mbumbumbu FC watafute mtu mwingine wa kumtukana na kumuangushia jumba bovu pale Msimbazi kwa usajili mbovu na mpira wa ndondo!
Wadau muhimu wa Makolo FC watapukutika na timu inaweza kushuka daraja, huku timu ikiwa imeshasahau kuifunga Yanga ambayo ni furaha ya wanasimba sasa Barabara hawezi kushabikia na kuongoza vitu vibovu abaki anafanya nini Mbumbumbu FC?
Hata mimi ningesepa!
She is smart and beautiful[emoji16][emoji16]
Hivi kassim Dewj na Mo Dewj sio ndugu?Hiki sio kitu cha kufurahia kama unapenda soka la bongo,huyu demu alikuwa ana ishape Simba iwe na uwezo wa kujiendesha kwa kuziba mianya ya upotevu wa hela.
Najua wahuni wa Simba wakina Kassim Dewji wamefurahi, ila wanaiharibu timu kwani MO nae mda si mrefu ataamsha,mpira hela na mpira uwekezaji so akiamsha MO hata timu itasuasua nule ushindani utapungua.
Vipi ile michango ya uwanja na 2B aliyo ahidi mwekezaji ?Ujenzi wa ule uwanja wa kumfuta Babra machozi umefika wapi?
Sijajua haswa ila Kassim jamaa muhuni sana, anakiwanda cha kutengeneza jezi fake za Simba na Yanga.Hivi kassim Dewj na Mo Dewj sio ndugu?
Hivi JamiiForums Member maarufu anayejulikana sana ni GENTAMYCINE aliyejiunga hapa mwaka 2013 Mwezi July au ni huyu Tapeli GENTAMYCIME aliyeiiga ID yake ili Kusafiria Nyota yake Kali Kiumaarufu na aliyejiunga hapa JamiiForums mwaka huu huu wa 2022?
PopomaHivi JamiiForums Member maarufu anayejulikana sana ni GENTAMYCINE aliyejiunga hapa mwaka 2013 Mwezi July au ni huyu Tapeli GENTAMYCIME aliyeiiga ID yake ili Kusafiria Nyota yake Kali Kiumaarufu na aliyejiunga hapa JamiiForums mwaka huu huu wa 2022?
Asante kwa Kunitaja hapa JamiiForums kwa hii ID yangu moja tu na ya Kipekee ya MINOCYCLINE 'Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person' sawa?
🤣🤣🤣🤣Muda si mrefu waraka utatoka kumkana Babra kuwa hakuwa CEO wa Simba SC Bali aliombwa kushikilia tu