Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguvu inaondokaSimba guvu moya
We unaumia nini?Ulitaka upigwe wewe mimba ukiwa kwa mpalange?Muhindi kazini soon anauza hisa ambazo hajawai kuzinunua na anapiga pesa hao wanadepa dubai kufunga Mimba [emoji3][emoji3][emoji3]
Mbumbumbu fc[emoji3][emoji3]
Hii kitu ilikuwa inafukuta chini kwa chini na ilikuwa inazimwa kiaina kuwa ndani ya klabu ni shwali kumbe penye moshi kinachofata ni moto,,Manara alisema akabezwa sasa kango'lewa na kauli ya manara imetimia rasmi,, Nakubaliana na yote yanayosemwa kwa sasa kuwa Mhindi kaisusa timu na hali ya kifedha imekuwa ngumu na basi la timu kukamatwa pamoja na wachezaji kutopewa posho zao ni dalili za ukata kwenye klabu,, Sasa mwandani wa mwekezaji katangulia anayefata ni Mzee wa kususa atataka auze hisa ambazo azijulikani alizilipia lini na wapi,,hapo ndo kutakuwa na mtifuano,,acha wafu wazikane mficha maradhi kifo umuumbuaAomba kujiuzulu na ameandika notisi ya Mwezi Mmoja, ili Januari 2023 aachie ngaziView attachment 2442080
Mo anasepa muda si mrefuKwani mdhamini yupi kaondoka?
Timu tunamuachia kigwangwalla aiongoze yeyeHii kitu ilikuwa inafukuta chini kwa chini na ilikuwa inazimwa kiaina kuwa ndani ya klabu ni shwali kumbe penye moshi kinachofata ni moto,,Manara alisema akabezwa sasa kango'lewa na kauli ya manara imetimia rasmi,, Nakubaliana na yote yanayosemwa kwa sasa kuwa Mhindi kaisusa timu na hali ya kifedha imekuwa ngumu na basi la timu kukamatwa pamoja na wachezaji kutopewa posho zao ni dalili za ukata kwenye klabu,, Sasa mwandani wa mwekezaji katangulia anayefata ni Mzee wa kususa atataka auze hisa ambazo azijulikani alizilipia lini na wapi,,hapo ndo kutakuwa na mtifuano,,acha wafu wazikane mficha maradhi kifo umuumbua
Tomaso huamini? Upo dunia gani? Mo dewji naye anasepa pia.Kaiposti wapi?
Cc: GENTAMYCIME MINOCYCLINEHii kitu ilikuwa inafukuta chini kwa chini na ilikuwa inazimwa kiaina kuwa ndani ya klabu ni shwali kumbe penye moshi kinachofata ni moto,,Manara alisema akabezwa sasa kango'lewa na kauli ya manara imetimia rasmi,, Nakubaliana na yote yanayosemwa kwa sasa kuwa Mhindi kaisusa timu na hali ya kifedha imekuwa ngumu na basi la timu kukamatwa pamoja na wachezaji kutopewa posho zao ni dalili za ukata kwenye klabu,, Sasa mwandani wa mwekezaji katangulia anayefata ni Mzee wa kususa atataka auze hisa ambazo azijulikani alizilipia lini na wapi,,hapo ndo kutakuwa na mtifuano,,acha wafu wazikane mficha maradhi kifo umuumbua
Hii kitu ilikuwa inafukuta chini kwa chini na ilikuwa inazimwa kiaina kuwa ndani ya klabu ni shwali kumbe penye moshi kinachofata ni moto,,Manara alisema akabezwa sasa kango'lewa na kauli ya manara imetimia rasmi,, Nakubaliana na yote yanayosemwa kwa sasa kuwa Mhindi kaisusa timu na hali ya kifedha imekuwa ngumu na basi la timu kukamatwa pamoja na wachezaji kutopewa posho zao ni dalili za ukata kwenye klabu,, Sasa mwandani wa mwekezaji katangulia anayefata ni Mzee wa kususa atataka auze hisa ambazo azijulikani alizilipia lini na wapi,,hapo ndo kutakuwa na mtifuano,,acha wafu wazikane mficha maradhi kifo umuumbua
Kama vipi amuuzie hizo hisa, Mzee Kilomoni.Mo nae anauza hisa zake 49
Mzee Backhresa akiacha kununua izo hisa uniite mzee Makamba nipo nimekaa palee 👉Mo nae anauza hisa zake 49
Ananunua tajiri moja yupo katulia zakeMzee Backhresa akiacha kununua izo hisa uniite mzee Makamba nipo nimekaa palee 👉
Mvivu sana kutafuta habari.
Mvivu sana kutafuta habari.
Kuna kitu hakipo sawa ndani ya Simba, wanapaswa kujitafakari kabla mambo hayajaharibika, Wahenga walisema usipoziba ufa...............?Aomba kujiuzulu na ameandika notisi ya Mwezi Mmoja, ili Januari 2023 aachie ngaziView attachment 2442080