Barbara Gonzalez abwaga Manyanga Simba SC, aandika barua ya kutoa notisi ya mwezi mmoja kujiuzulu

Barbara Gonzalez abwaga Manyanga Simba SC, aandika barua ya kutoa notisi ya mwezi mmoja kujiuzulu

Kuna kitu hakipo sawa ndani ya Simba, wanapaswa kujitafakari kabla mambo hayajaharibika, Wahenga walisema usipoziba ufa...............?
Tangu msimu ulioisha mambo hayakuwa mazuri yalifichwa tu muda utasema ukweli
 
Barbra alikuwa icon ya SIMBA kimataifa..
Alikuwa matazamo kibiashara. ..Alihitaji pia azungukwe na watu wazuri wa kiufundi .

Hatujui nidhamu ya fedha ilikuwaje....mamake SIMBA imekua na viongozi wengi before...but Barbra nikimuona she is serious in club investment.badala ya wale wachumia tumbo..

Anyway hatujui sana mapungufu yake...lakini nani ataziba nafasi mwenye mvuto wa kibiashara..
Mwina kaduguda
 
Barabara kaona mbali sana, katumia akili kubwa kuachia ngazi Simba na kuamua kuwekeza kwa majukumu yake CAF. Huwezi kuwa kiongozi mwenye furaha kuongoza timu yenye viongozi wenye njaa . Huwezi kujiharibia CV kuendelea kushikilia timu mbovu iliyo nyuma ya vinara wa ligi Young African na huu mwaka wa pili makombe yote yanabaki jangwani.

Mashabiki maandazi wanaobwatuka ovyo wa Mbumbumbu FC watafute mtu mwingine wa kumtukana na kumuangushia jumba bovu pale Msimbazi kwa usajili mbovu na mpira wa ndondo!

Wadau muhimu wa Makolo FC watapukutika na timu inaweza kushuka daraja, huku timu ikiwa imeshasahau kuifunga Yanga ambayo ni furaha ya wanasimba sasa Barabara hawezi kushabikia na kuongoza vitu vibovu abaki anafanya nini Mbumbumbu FC?

Hata mimi ningesepa!
She is smart and beautiful😁😁
 
You need to play your cards right. Bodi ya Directors wanataka kufanya kila kitu (shida njaa),kuajiri coach, recruit players, kupanga timu etc. Anaona Simba will not perform in CAF na asingependa kuwa associated na hiyo. Majungu mengi na hela siyo ya kwenu. Bodi ya Directors should go out and seek finance ya club, siyo kufanya hela za mtu kama zao.
 
All the best kwake..

Ameonesha kwa vitendo alivyo na uwezo mkubwa wa kufanya kazi, tatizo uswahili uliingilia utendaji wake, na kwake ili kulinda heshima na hadhi yake na kazi yake, imembidi aondoke.

Goodbye Barbra G.
 
Simba itapitia wakati mgumu lakini itakuja kupata mdhamini na menejimenti bora zaidi
Kwani mdhamini yupi kaondoka?
1670701985644.png
Labda miaka yote hii alikuwa anajua mdhamini ni Barbra
 
Kigwangala huu ndio wakati wake sasa..sio mikelele apige wakati wa neema
 
Hiki sio kitu cha kufurahia kama unapenda soka la bongo,huyu demu alikuwa ana ishape Simba iwe na uwezo wa kujiendesha kwa kuziba mianya ya upotevu wa hela.

Najua wahuni wa Simba wakina Kassim Dewji wamefurahi, ila wanaiharibu timu kwani MO nae mda si mrefu ataamsha,mpira hela na mpira uwekezaji so akiamsha MO hata timu itasuasua nule ushindani utapungua.
 
  • Thanks
Reactions: Cyn

Sio kweli kuwa upinzani utasuasua bali tayari umeshaisha mazima!ni lini tena Somba itaifunga Yanga? Mara ya mwisho ilikuwa lini Yanga wakiwa kamili 11 uwanjani bila mgogoro klabuni jangwani wakafungwa na Simba? Ni before 2012!

Yanga mwaka huu inachukua tena makombe yote na pia nimeona mademu wazuri wote wanabebwa na wachezaji wetu mademu kama Uwoya vs Mayele!
Senzo alipochoshwa Simba alitimkia Yanga, hata huyu pisi kali Barabara itapendeza akija Yanga kumenoga unbeaten record hesabu imeanza tena ifike 100 unbeaten games! Barabara habebani na failures sasa ushindi upo Yanga should be her new home!! Pisi kali Barabara achana na simba washafeli hao!

Kama pisi kali Barbra ana akili aje Yanga tu kwenye chama la ushindi aje kumshauri Injinia Hersi ila tunajua Rais wetu bado yupo Qatar kuchukua saini za mashine za Morocco, Ronaldo, Mbappe, Neymar, Rodriygo, Moratta , Acunā na Messi au kama vepe pisi kali amfuate injinia huko huko Qatar aliko na kina Ronaldo de Lima wakipiga cheers seven (7) stars hotel, tycoon suite! Yanga tuna hela na sharp brain 😎😃😂😄
 
All the best kwake..

Ameonesha kwa vitendo alivyo na uwezo mkubwa wa kufanya kazi, tatizo uswahili uliingilia utendaji wake, na kwake ili kulinda heshima na hadhi yake na kazi yake, imembidi aondoke.

Goodbye Barbra G.
Ndio ukweli wenyewe..
Ni kazi ngumu kwa mgeni kama yeye kufanya kazi na waswahili achilia mbali ufanye na mtu mweusi...
Ndio kama lile chawa manara, elimu sifuri halafu lilikuwa linataka kuingilia uendeshaji wa timu, sasa wale chawa wake ndio wamemkangaagia sumu hasa mpaka kaone isiwe shida....
 
Barbra alikuwa icon ya SIMBA kimataifa..
Alikuwa matazamo kibiashara. ..Alihitaji pia azungukwe na watu wazuri wa kiufundi .

Hatujui nidhamu ya fedha ilikuwaje....mamake SIMBA imekua na viongozi wengi before...but Barbra nikimuona she is serious in club investment.badala ya wale wachumia tumbo..

Anyway hatujui sana mapungufu yake...lakini nani ataziba nafasi mwenye mvuto wa kibiashara..
Nafasi ya baibra wampe kaduguda
 
Back
Top Bottom