Barbara Gonzalez: Benard Morrison Haingii Afrika Kusini

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Mkurugenzi Mtendaji wa Simba Barbara Gonzalez amethibitisha kuwa kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Bernard Morrison hawezi kuingia ndani ya ardhi ya Afrika Kusini kutokana na kuwa na kizuizi cha kuingia nchini humo.

Morrison kabla ya kujiunga na klabu za Yanga na Simba alishawahi kufanya kazi nchini Afrika Kusini katika klabu ya Orlando Pirates, aliondoka klabuni hapo kutokana na matatizo ya utovu wa nidhamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…