Barbara Gonzalez: Benard Morrison Haingii Afrika Kusini

Barbara Gonzalez: Benard Morrison Haingii Afrika Kusini

Huku South afrika tunasema huyo morrison akikanyaga ardhi ya mandela tu ni mwendo wa mafuta na matairi tu
 
kwani huwezi kufafanua bila kutukana? kama kila mtu anajua kila kitu basi hili jukwaa halina haja ya kuwepo
Mkuu kuna watu wana frustration za maisha balaa,
Yaani kila kitu analeta ligi na matusi juu mpaka unabaki unashangaa tu

Tabia hii ipo sana hapa JF, kuna jamaa nilim quote nikajaribu kueleza vikwaza vinavyoweza kuiathiri Russia Jamaa alinijibu kwa dharau kejeli na matusi juu utadhani sijui nimemkosea nini aisee
 
Nani alikudanganya? Morrison hakuingia South Africa, wajinga kama wewe ndio mlitengenezewa sinema kwamba amekwenda na timu.
Sasa Morrison ana kadi tatu za njano south anaenda kufanya nini?
 
Back
Top Bottom