Barbara Gonzalez CEO wa Simba SC nakukubali kiutendaji, ila acha kumdharau Senzo Mazingisa kwani hujafikia hata 15% tu ya uwezo wake

Mwanachi media day 🤣🤣🤣
 
aisee!
 
Babra yupo juu huyo Senzo angekuwa vizuri angekuwa ulaya.
 
Ni nani anamiliki hiki chombo bwana popoma?

Utani.

Sema huyu dada ana uswahili sana ndani yake..
Ila ni mtamu sana tuache utani. Barbra ni mzuri sana na akili anazo pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…